Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

Wakati mwingine ninyi wanaume ndio tatizo Mimi kwenye ndoa yangu ya kwanza mume wangu alipatwa na tatizo la ukhanithi. Tatizo lilianza taratibu baadae akawa khanithi kabisa. Nikawa pamoja nae nikahangaika nae sana baadae nikaelekezwa mahali nikampeleka akapona kabisa tena akawa mara dufu ya alivyo kuwa zamani. Asianze kutembea na hadi rafiki zangu. Akawa kidume yeye jogoo yeye beberu yeye . Nikaona ataniletea magonjwa huyu nikaomba talaka sipo nae toka 2017 na hadi sasa nasikia hayo ndio maisha yake ya kujifanya mwakitombile. Mpaka najuta kwanini nilimpeleka kutibiwa tena kwa kutumia hela yangu ndogo ninayo ipata kwa tabu. So huyo mwanamke asilaumiwe sana
Ulimpekekà wapi.na sisi tukapone?
 
Back
Top Bottom