Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

πŸ˜‚πŸ˜‚Dah
 
Aaah,wacha nicheke kwanza,ila mkuu huko sipo nachangamsha jukwaa mie nina kipato ila mmewangu ni anajiongeza,anajua nini mwanamke anataka
 
Mnapeana vitasa mwankinyo na mandongaπŸ˜‚
Wanaume Wana hasira sana alafu wanawake inabid tuwe wapole somtym ngoja nimalize ligi kibingwa ashinde yeye πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Aaah,wacha nicheke kwanza,ila mkuu huko sipo nachangamsha jukwaa mie nina kipato ila mmewangu ni anajiongeza,anajua nini mwanamke anataka
Mwanamke mwenye akili humstiri mmewe mbele za watu😘😘😘
 
Aaah,wacha nicheke kwanza,ila mkuu huko sipo nachangamsha jukwaa mie nina kipato ila mmewangu ni anajiongeza,anajua nini mwanamke anataka
Ana hasira balaa anafikiri tupo serious hapa
 
Unaombwaa helaa mpakaa Unahisi kizunguzunguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanamke unaweza pata msibaa mzito tu hata haujapoaaa hapo hajakupa hata sh 10 ya rambi rambi baada ya week anakuomba helaa aiseee[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa patamu
 
Karibu Fenesi na sharubati ya tende halafu tuendelee kugombana. [emoji39]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Usikute naishi jirani na mtaani kwenu
Kiukweli Hela inauma sana asikwambie mtu ukitaka kujua uwe umejaribu kutfuta pesayako mwenyew ndo utajionea kutumia laki ovyo unaona anasa mm Nina notebook kabisa naandika [emoji23][emoji23]
Sasa apply hiyo akili ya discipline ya peza zako kwenye pesa za mwanaume yaani ukiona mwanaume wako ana laki usiitolee macho wala kuwa na tamaa nayo bali kuwa na subira. Uone kama hautaonekana mwanamke smart.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…