Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Hawnaa huruma hawa. Yaani very selfish, mbususu hawatoi, hela yao nayo tabu kuiona
 
Sijawahi kuwa tamaa na kitu Cha mtu ninavyonvyngu hata km ni vidogo lakin ninajivunia bado natafuta sijapata Bado na huwa silazimishi mtu akisema Hana naelewa sababu na mm sikuwa nayo nikaomba sasa mwenzangu anatoawapi Hela muda wote tunachangamsha jukwaa tu usikasirike hivo
 
Wanaume tumepigwa na vitu vizito msitutoneshe jmn
πŸ˜€πŸ˜€Kiukweli tuwaonea huruma sana sema mnatupiga vichwa somtym lazima tuwachallenge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
πŸ˜€πŸ˜€Kiukweli tuwaonea huruma sana sema mnatupiga vichwa somtym lazima tuwachallenge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Hayo nayo yapo, wapo wanaupe pia wapenda kuwapiga
 
Kwann useme unavumilia it means wewe huyo mtu unamtegemea kwa asilimia 95.99% sababu tafsiri ya kuvumilia maana yake unaumia.

Then unapoingia katika mahusiano make it your responsibility kujitafutia vyanzo vya mapato ili usije ukamchukia mtoto wa mwanamke mwenzio kwasababu ya umasikini uliotoka nao nyumbani kwenu.

Kama sivyo basi usiseme unavumilia sema unayakubali maisha kulingana na hatua uliyopo huku mkijitafuta kupandisha kipato chenu kiwe kizuri zaidi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nimemaanisha km ulivoeleza lakin huenda nimekosa neno zuri la kutumia sijaeleweka
 
Kweli na ukute mwanaume hajawahi hata kukuuliza unaishu gani nae akushauri sms ya kwanza ya pili njoo ghetto lazima mtu aombe Hela [emoji23]
Sasa unataka akupe ushauri kwa njia ya simu? Nenda geto pika mle mtombane then mkiamka mnaanza kupeana ushauri then life goes on.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…