Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mnatutonesha madonda ya moyo nyie hamjui tu kizazi hiki cha wanaume namna kimejawa na hasira kifuani inapokuja maswala ya mahusiano maana wanawake mshazingua sana.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Yeye ni dada! Huyu halafu amenitusi mimi kwanza akaniita shangazi hivi kweli! How responsible man I am aniite hivyo, thatโ€™s totally harassment
Sio kwamba wewe ndio imeanza kumwambia Leejay49 kuwa Surya ni mwanamke?

All in all, huyo ni mwanaume na anafahamika kitambo humu jukwaani. Hakuna haja ya kulumbana
 
Shida sana ndugu yangu hawa viumbe...!!
 
Sio kwamba wewe ndio imeanza kumwambia Leejay49 kuwa Surya ni mwanamke?

All in all, huyo ni mwanaume na anafahamika kitambo humu jukwaani. Hakuna haja ya kulumbana
Done deal atabaki kuwa dada, Jina limemwangusha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yaani ndoa imekuwa Kama ndio ticket ya kuingia paradiso Kwa baba! mwanaume anayenyakuliwa na rafiki huyo muolewaji atajuta huyo ni jasiri anakula Hadi madada,wadogo na mabinamu haachi kitu
Aaah hamna kitu kama hicho. Story zipo nyingi sana huku mtaani na watu wanahesabu mtoto wa nne saa hii.

Cha msingi ni kupinduliwa kihaki basi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
wana kichaka chao cha kujifichia.
Ety kwahiyo mimi nimepata shida huwezi nisaidia hadi uwe umelala na mm ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Na Mimi lazma nitoe pesa ndo nilale na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ