Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Sijawahi kuwa tamaa na kitu Cha mtu ninavyonvyngu hata km ni vidogo lakin ninajivunia bado natafuta sijapata Bado na huwa silazimishi mtu akisema Hana naelewa sababu na mm sikuwa nayo nikaomba sasa mwenzangu anatoawapi Hela muda wote tunachangamsha jukwaa tu usikasirike hivo
Mnatutonesha madonda ya moyo nyie hamjui tu kizazi hiki cha wanaume namna kimejawa na hasira kifuani inapokuja maswala ya mahusiano maana wanawake mshazingua sana.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hii ilinikuta nimemeza Metakelfin yangu napambana nayo kitandani hii kuna pofu m'moja wa enzi hizo ananipigia straight ananiomba hela akijifanya ana emergency. Namwambia hali yangu akajifanya kustuka kidogo na kuuliza maswali mawili matatu ya kimbea then mwishoni akanambia kwahiyo naweza pata.

Nikamwambia subiri nimtume mtu maana siwezi hata toka ndani. Ananiuliza nisubirie dakika ngapi. Nikaona hapa hakuna mtu hapa, huyu ni mwehu.

Nilimchana kwenye sms nikamwambia yaani mimi naumwa hapa hata kusema uje kujua naendeleaje unaona dharula zako ni muhimu kuliko afya ya mtu unayetaka akupe pesa ya matumizi.

Akajitetea na kusema basi kama nimemuelewa vibaya nisimtumie na hiyo hela

Nikaona mwehu huyu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Shida sana ndugu yangu hawa viumbe...!!
 
Sio kwamba wewe ndio imeanza kumwambia Leejay49 kuwa Surya ni mwanamke?

All in all, huyo ni mwanaume na anafahamika kitambo humu jukwaani. Hakuna haja ya kulumbana
Done deal atabaki kuwa dada, Jina limemwangusha😂😂😂
 
Yaani ndoa imekuwa Kama ndio ticket ya kuingia paradiso Kwa baba! mwanaume anayenyakuliwa na rafiki huyo muolewaji atajuta huyo ni jasiri anakula Hadi madada,wadogo na mabinamu haachi kitu
Aaah hamna kitu kama hicho. Story zipo nyingi sana huku mtaani na watu wanahesabu mtoto wa nne saa hii.

Cha msingi ni kupinduliwa kihaki basi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom