Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Mnatutonesha madonda ya moyo nyie hamjui tu kizazi hiki cha wanaume namna kimejawa na hasira kifuani inapokuja maswala ya mahusiano maana wanawake mshazingua sana.Sijawahi kuwa tamaa na kitu Cha mtu ninavyonvyngu hata km ni vidogo lakin ninajivunia bado natafuta sijapata Bado na huwa silazimishi mtu akisema Hana naelewa sababu na mm sikuwa nayo nikaomba sasa mwenzangu anatoawapi Hela muda wote tunachangamsha jukwaa tu usikasirike hivo
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app