Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Ngoma droo...na yeye hapewi.🤦Hupewi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma droo...na yeye hapewi.🤦Hupewi sasa
Umerithi kuchapia ohoooKuna pachage unapewa ya kujikimu,hizo ni international standard brother 😅😅😅
Kaa nacho kidode😂Ngoma droo...na yeye hapewi.🤦
🤣🤣🤣my Alliyah usicheke.....tuwaombe tu ndio wababy zetu Sasa wanataka tumuombe Nani?😂😂😂🙌
Unadate na mwanaume kesho anakutana na rafiki yako anayejielewa ambaye anamipango anamuona sasa huyu ndie mwanamke nilikuwa natafuta.[emoji23][emoji23]Dah
Nashangaa tumuombe nani wanataka watuambie basi🤣🤣🤣my Alliyah usicheke.....tuwaombe tu ndio wababy zetu Sasa wanataka tumuombe Nani?
Aah wapi Kuna kina Ngosha hawanaga mba mba mba🤦🤦🤦Kaa nacho kidode😂
Kama unajiongeza then hapo hakuna tatizo. Sisi tusichotaka ni hiki kizazi cha pangu pakavu tia mchuzi, chuma ulete na matonya.Aaah,wacha nicheke kwanza,ila mkuu huko sipo nachangamsha jukwaa mie nina kipato ila mmewangu ni anajiongeza,anajua nini mwanamke anataka
Then wagawie wakuvuruge kama mtori🤣Aah wapi Kuna kina Ngosha hawanaga mba mba mba🤦🤦🤦
Mtakuwa serious tu maana haya mambo yanatuathiri zaidi wanaume wakati nyie mkigeuza maisha na hisia zetu kuwa comedy.Ana hasira balaa anafikiri tupo serious hapa
Jamani si mlisema akili tutazikuta hukohuko?imekuwa Tena tuje nazo?Unadate na mwanaume kesho anakutana na rafiki yako anayejielewa ambaye anamipango anamuona sasa huyu ndie mwanamke nilikuwa natafuta.
Wanaanza kupanga mipango ya pesa pembeni wewe hujui anamuona binti wanaendana anakwenda chap kwao anapiga goti kimya kimya wewe hujui kitu.
Unakuja jua ni kupitia post za social network. Unaanza kujiliza.
Nimekupa kila kitu. Mmmmmmhmn mmmmmmhmn mmmmmmhmn wewe kila kitu?!
Hebu nambie ulichonipa. Kumbe kalikuwa kanaamini kutombwa ndio kila kitu sasa rafiki yako alikuwa anatombwa na ilikuwa sio issue kwake. Akajiongeza zaidi eneo la fedha, na kupanga life.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwani mnaona km ndoa ndio big deal Kwa kilamwanamke?Sasa mwanaume anaedate na rafiki nae ni WA kulalamika kwawatu kuwa kakuacha duhUnadate na mwanaume kesho anakutana na rafiki yako anayejielewa ambaye anamipango anamuona sasa huyu ndie mwanamke nilikuwa natafuta.
Wanaanza kupanga mipango ya pesa pembeni wewe hujui anamuona binti wanaendana anakwenda chap kwao anapiga goti kimya kimya wewe hujui kitu.
Unakuja jua ni kupitia post za social network. Unaanza kujiliza.
Nimekupa kila kitu. Mmmmmmhmn mmmmmmhmn mmmmmmhmn wewe kila kitu?!
Hebu nambie ulichonipa. Kumbe kalikuwa kanaamini kutombwa ndio kila kitu sasa rafiki yako alikuwa anatombwa na ilikuwa sio issue kwake. Akajiongeza zaidi eneo la fedha, na kupanga life.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ha haaa nimetumia akili za Cuba 🤣🤣🤣🤣Then wagawie wakuvuruge kama mtori🤣
Ukutumiwa cia wakuchimbe bitHa haaa nimetumia akili za Cuba 🤣🤣🤣🤣
Yaani ndoa imekuwa Kama ndio ticket ya kuingia paradiso Kwa baba! mwanaume anayenyakuliwa na rafiki huyo muolewaji atajuta huyo ni jasiri anakula Hadi madada,wadogo na mabinamu haachi kituKwani mnaona km ndoa ndio big deal Kwa kilamwanamke?Sasa mwanaume anaedate na rafiki nae ni WA kulalamika kwawatu kuwa kakuacha duh
Hii ilinikuta nimemeza Metakelfin yangu napambana nayo kitandani hii kuna pofu m'moja wa enzi hizo ananipigia straight ananiomba hela akijifanya ana emergency. Namwambia hali yangu akajifanya kustuka kidogo na kuuliza maswali mawili matatu ya kimbea then mwishoni akanambia kwahiyo naweza pata.Unaombwaa helaa mpakaa Unahisi kizunguzunguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanamke unaweza pata msibaa mzito tu hata haujapoaaa hapo hajakupa hata sh 10 ya rambi rambi baada ya week anakuomba helaa aiseee[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Yeye ni dada! Huyu halafu amenitusi mimi kwanza akaniita shangazi hivi kweli! How responsible man I am aniite hivyo, that’s totally harassmentMkuu, hebu mtake ladhi Surya