Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

[emoji23][emoji23]Dah
Unadate na mwanaume kesho anakutana na rafiki yako anayejielewa ambaye anamipango anamuona sasa huyu ndie mwanamke nilikuwa natafuta.

Wanaanza kupanga mipango ya pesa pembeni wewe hujui anamuona binti wanaendana anakwenda chap kwao anapiga goti kimya kimya wewe hujui kitu.

Unakuja jua ni kupitia post za social network. Unaanza kujiliza.

Nimekupa kila kitu. Mmmmmmhmn mmmmmmhmn mmmmmmhmn wewe kila kitu?!

Hebu nambie ulichonipa. Kumbe kalikuwa kanaamini kutombwa ndio kila kitu sasa rafiki yako alikuwa anatombwa na ilikuwa sio issue kwake. Akajiongeza zaidi eneo la fedha, na kupanga life.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Jamani si mlisema akili tutazikuta hukohuko?imekuwa Tena tuje nazo?
 
Unadate na mwanaume kesho anakutana na rafiki yako anayejielewa ambaye anamipango anamuona sasa huyu ndie mwanamke nilikuwa natafuta.

Wanaanza kupanga mipango ya pesa pembeni wewe hujui anamuona binti wanaendana anakwenda chap kwao anapiga goti kimya kimya wewe hujui kitu.

Unakuja jua ni kupitia post za social network. Unaanza kujiliza.

Nimekupa kila kitu. Mmmmmmhmn mmmmmmhmn mmmmmmhmn wewe kila kitu?!

Hebu nambie ulichonipa. Kumbe kalikuwa kanaamini kutombwa ndio kila kitu sasa rafiki yako alikuwa anatombwa na ilikuwa sio issue kwake. Akajiongeza zaidi eneo la fedha, na kupanga life.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwani mnaona km ndoa ndio big deal Kwa kilamwanamke?Sasa mwanaume anaedate na rafiki nae ni WA kulalamika kwawatu kuwa kakuacha duh
 
Yaani ndoa imekuwa Kama ndio ticket ya kuingia paradiso Kwa baba! mwanaume anayenyakuliwa na rafiki huyo muolewaji atajuta huyo ni jasiri anakula Hadi madada,wadogo na mabinamu haachi kitu
 
Unaombwaa helaa mpakaa Unahisi kizunguzunguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanamke unaweza pata msibaa mzito tu hata haujapoaaa hapo hajakupa hata sh 10 ya rambi rambi baada ya week anakuomba helaa aiseee[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hii ilinikuta nimemeza Metakelfin yangu napambana nayo kitandani hii kuna pofu m'moja wa enzi hizo ananipigia straight ananiomba hela akijifanya ana emergency. Namwambia hali yangu akajifanya kustuka kidogo na kuuliza maswali mawili matatu ya kimbea then mwishoni akanambia kwahiyo naweza pata.

Nikamwambia subiri nimtume mtu maana siwezi hata toka ndani. Ananiuliza nisubirie dakika ngapi. Nikaona hapa hakuna mtu hapa, huyu ni mwehu.

Nilimchana kwenye sms nikamwambia yaani mimi naumwa hapa hata kusema uje kujua naendeleaje unaona dharula zako ni muhimu kuliko afya ya mtu unayetaka akupe pesa ya matumizi.

Akajitetea na kusema basi kama nimemuelewa vibaya nisimtumie na hiyo hela

Nikaona mwehu huyu.

Back
Top Bottom