Mwanamke usipoachana nae kwa ugomvi mkali ni mtihani sana

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.

Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya.

Nilichogundua Ili muachane vizuri ni vema mkadundana mangumi, mtoane ngeu maana wanawake ni vinganganizi.

Naombeni ushauri
 
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.

Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya.
Nilichogundua Ili muachane vizuri ni vema mkadundana mangumi , mtoane ngeu maana wanawake ni vinganganizi

Naombeni ushauri
Ushauri wangu Fanya hivyo hivyo mzabue mangumi ajue kweli umemaanisha

Sent from my G3212 using JamiiForums mobile app
 
Hamna haja ya kumpiga inabid uwe na POWER OF IGNORANCE umpotezee akija unamkaripia tu unpotezea that's an easy. and best way kumpotezea demu au mwanamke lakini UKIONA amerudi kwako na mlishaachana ujue Kuna msela kashagonga sana kampotezea Sasa anawaza matapishi akatapikie wapi
 
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.

Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya.
Nilichogundua Ili muachane vizuri ni vema mkadundana mangumi , mtoane ngeu maana wanawake ni vinganganizi

Naombeni ushauri
Fanya ulichogundua sio kuanza kuomba ushauri wakati umeshajiita mgunduz
 
Alpha-male-1024x1024.jpg
 
Hujakutana na wenye viburi vya uzima kama changu😅😅sinaga shobo na mtu wa kuitwa ex
 
Kweli hawa viumbe wana shida sana unakuta anakutukana matusi ya nguoni ili mradi umvamie umpige
 
Sasa tunakushauri nn hapo mkuu na solution ipo umeipata tayari??[emoji28]
 
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.

Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya.
Nilichogundua Ili muachane vizuri ni vema mkadundana mangumi , mtoane ngeu maana wanawake ni vinganganizi

Naombeni ushauri
Sasa wee wakikulwtea mbususu zao usasambue sii ndio raha ya dunia. Usiwalaumu wanawake bwana...wao nao wanapenda kutombwer wape kile wanachotaka acha uchoyo
 
Back
Top Bottom