ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.
Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya.
Nilichogundua Ili muachane vizuri ni vema mkadundana mangumi, mtoane ngeu maana wanawake ni vinganganizi.
Naombeni ushauri