Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

Kha! So wewe unaoa kwasababu unataka kumsitiri huyo mwanamke? Wewe baba huruma?
Pia n kwa sababu bikra zimekuwa adimu, msichana ht bado hajavunja ungo unakuta tayari ameshapasuliwa
 
Pia n kwa sababu bikra zimekuwa adimu, msichana ht bado hajavunja ungo unakuta tayari ameshapasuliwa
Kwahiyo kujibebesha majukumu ya kulea mke kwasababu unamuonea huruma?
 
Kisa we single mother unataka na wenzako wawe hivyo. Acha wenzako wawabadilishe wapendwa wao, ndiyo maana walikubaliana kwenye shida na raha.
 
Japo umeweka emoj za kucheka, maumivu unayopitia yanaonekana wazi,
Pole kwa umri wako, sahv watoto wa 2006 ndo wako kwenye chat
 
Wansaikolojia wameshaprove wanawake wengi wao wanawapenda bad boys/playboys.So tatizo mara nyingi linaanzia kwenye machaguo yenu maana wengi wenu hamuwapendi nice/good guy, huku mkijipa moyo mtambadilisha bad boys.

Bila kusahau ule wimbo wenu maarufu "bora kulia kwenye V8,kuliko kucheka kwenye baiskeli ".
 
Kuna kitu mama aliniambia,ukiona mwanaume hatambui thamani yako kabla hata ya kukuweka ndani basi usitegemee akakuthamini akishakuoa...ni yuleyule...habadiliki...

Mi nina hasira sana Kuna mtu aliniambia hutobadilika...I swear ni kweli sitobadilika.That is it ✌️
 
Mnakimbilia waliozipata kinachowakuta ni kuwa mtumwa
Ukitaka uwe mtumwa zaidi olewa na maskini...
Wanaotukimbia tusionazo wako fair sana...yaan sana.
Usimlaumu mtu kwa maamuzi yoyote anayoyafanya anajua nini anafanya
 
Ukitaka uwe mtumwa zaidi olewa na maskini...
Wanaotukimbia tusionazo wako fair sana...yaan sana.
Usimlaumu mtu kwa maamuzi yoyote anayoyafanya anajua nini anafanya
Mwaka jana nilifanya maamuzi magumu ya kuachana na demu mmoja alikua ana tamaa sana, afu ni mchungu wa kutumia hela yake hata kwa vitu vyake binafsi Afu ana asili uchoyo
Nkapiga hesabu huyu mtu nkiendelea naye ntakuja kuwa na familia ya hovyo sana,
Nkapiga chini
 
Yeah,ukishaona haiwezekaniki ujue haiwezekaniki...fanya maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…