No Kausha, tumekuelewa mamaSbb ya kuniacha kanipa mkuu ila ni sawa kweli hata kama.nimeachwa kwa kunuka K kila mtu ajue ili msiniite Feminist?
Hahahahahah sasa hilo si ungenifata ofisini maana hio dawa yake mi nnayo πSbb ya kuniacha kanipa mkuu ila ni sawa kweli hata kama.nimeachwa kwa kunuka K kila mtu ajue ili msiniite Feminist?
Yes ninao.Ina mtoto/watoto?
Basi osha huo uchi.Sbb ya kuniacha kanipa mkuu ila ni sawa kweli hata kama.nimeachwa kwa kunuka K kila mtu ajue ili msiniite Feminist?
ππππYes ninao.
8 tu babangu.
Hapa disco lishaingia mmasai.Yes ninao.
8 tu babangu.
Na kama sitak dawa napenda kubak na harufu yangu je,πHahahahahah sasa hilo si ungenifata ofisini maana hio dawa yake mi nnayo π
Bakia na harufu yako. Ila usiwe unabwabwaja ukiachwa.Na kama sitak dawa napenda kubak na harufu yangu je,π
Nasemaajeee,,, Kula bomu moja kwanza πNa kama sitak dawa napenda kubak na harufu yangu je,π
Sasa si utulie tu mama tafuta kidogodogo tu cha emergency..lea watt wako tu. Ndoa huja bila hodi haitafutwi otherwise utaangukia puaYes ninao.
8 tu babangu.
π€£π€£π€£Kuna dada angu alishawah kutaman ndoa mpaka akawa anawapatia hela wanaume,mara anahangaika na wazeee,mara matapeli anayaleta mpaka nyumban kuyatambulisha
bAadae ilibid nimshauri aachane na hayo mambo atafute hela tu,pesa ndo kila kitu,mungu saidia baadae alifanikiwa ila sahv tena anataman kutoka kwenye ndoa
Sa itakuaje mkuu ni masharti ya mganga kuwa lazima ninuke K kama mzoga wa Fisi uloozaπBasi osha huo uchi.
Kutumia muda mwingi kutafuta pesa huku unakosa kujiswafi nao ni ujuha na utumwa kupitiliza.
Osha hilo papa. Sugua makwapa na jipulizie marashi yenye kunukia.
Enda saloon, ng'arisha ngozi na safisha huo mdomo.
Vijana watakufata wakukule wewe na hizo hela zako. Atatokea atakayekuoa.
Kibut nipigwe mim hazina upate wewe mkuu wanguBakia na harufu yako. Ila usiwe unabwabwaja ukiachwa.
Jeep rubiconMuda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.
Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.
Amesema alipoambiwa tuachane akaunga mkono hoja...maana yake hakuchukua hatua yoyote kunusuru penzi lake ...japo hata Mimi nafikiri mpk mtu anakuambia muachane Ina maana kaamua hata ukitaka maridhiano inaweza kuwa bure tuHuenda nae kachelewa sana,na anaumia mno ila kujikaza....shosti mwanaume asipokupenda ukilazimisha umeisha
ππππππππ
Jeep rubiconMuda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.
Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.
Umemweza kweliππππ
Wengi nini?ππHapa disco lishaingia mmasai.
Aah safi tu, muda ni saa 12 kasoro jioniWengi nini?ππ