To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
No Kausha, tumekuelewa mamaSbb ya kuniacha kanipa mkuu ila ni sawa kweli hata kama.nimeachwa kwa kunuka K kila mtu ajue ili msiniite Feminist?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No Kausha, tumekuelewa mamaSbb ya kuniacha kanipa mkuu ila ni sawa kweli hata kama.nimeachwa kwa kunuka K kila mtu ajue ili msiniite Feminist?
Hahahahahah sasa hilo si ungenifata ofisini maana hio dawa yake mi nnayo 😀Sbb ya kuniacha kanipa mkuu ila ni sawa kweli hata kama.nimeachwa kwa kunuka K kila mtu ajue ili msiniite Feminist?
Yes ninao.Ina mtoto/watoto?
Basi osha huo uchi.Sbb ya kuniacha kanipa mkuu ila ni sawa kweli hata kama.nimeachwa kwa kunuka K kila mtu ajue ili msiniite Feminist?
😂😂😂😂Yes ninao.
8 tu babangu.
Hapa disco lishaingia mmasai.Yes ninao.
8 tu babangu.
Na kama sitak dawa napenda kubak na harufu yangu je,😊Hahahahahah sasa hilo si ungenifata ofisini maana hio dawa yake mi nnayo 😀
Bakia na harufu yako. Ila usiwe unabwabwaja ukiachwa.Na kama sitak dawa napenda kubak na harufu yangu je,😊
Nasemaajeee,,, Kula bomu moja kwanza 😀Na kama sitak dawa napenda kubak na harufu yangu je,😊
Sasa si utulie tu mama tafuta kidogodogo tu cha emergency..lea watt wako tu. Ndoa huja bila hodi haitafutwi otherwise utaangukia puaYes ninao.
8 tu babangu.
🤣🤣🤣Kuna dada angu alishawah kutaman ndoa mpaka akawa anawapatia hela wanaume,mara anahangaika na wazeee,mara matapeli anayaleta mpaka nyumban kuyatambulisha
bAadae ilibid nimshauri aachane na hayo mambo atafute hela tu,pesa ndo kila kitu,mungu saidia baadae alifanikiwa ila sahv tena anataman kutoka kwenye ndoa
Sa itakuaje mkuu ni masharti ya mganga kuwa lazima ninuke K kama mzoga wa Fisi ulooza😊Basi osha huo uchi.
Kutumia muda mwingi kutafuta pesa huku unakosa kujiswafi nao ni ujuha na utumwa kupitiliza.
Osha hilo papa. Sugua makwapa na jipulizie marashi yenye kunukia.
Enda saloon, ng'arisha ngozi na safisha huo mdomo.
Vijana watakufata wakukule wewe na hizo hela zako. Atatokea atakayekuoa.
Kibut nipigwe mim hazina upate wewe mkuu wanguBakia na harufu yako. Ila usiwe unabwabwaja ukiachwa.
Jeep rubiconMuda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.
Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.
Amesema alipoambiwa tuachane akaunga mkono hoja...maana yake hakuchukua hatua yoyote kunusuru penzi lake ...japo hata Mimi nafikiri mpk mtu anakuambia muachane Ina maana kaamua hata ukitaka maridhiano inaweza kuwa bure tuHuenda nae kachelewa sana,na anaumia mno ila kujikaza....shosti mwanaume asipokupenda ukilazimisha umeisha
😀😀😀😀😂😂😂😂
Jeep rubiconMuda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.
Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.
Umemweza kweli😀😀😀😀
Wengi nini?😀😀Hapa disco lishaingia mmasai.
Aah safi tu, muda ni saa 12 kasoro jioniWengi nini?😀😀