Yaani I hate this type of uandishi,mtu anaendika hv namshusha PUsikute ni mwanafunzi huyo, Umri wake kwanza,unaweza kuta amefokewa na mama yake huko anataka aje kwako.
Kama hawezi tofautisha X na S
Hahaaaaaa....Huyu jamaa kichwa chake cha chini kimeshashika hatamu dhidi ya kichwa cha juu..
Huyu hatuwez kumshauri tena, ameshapoteza kumbukumbu.
Uandishi wa kuchanganya lugha ndio upuuzi mwingine.Yaani I hate this type of uandishi,mtu anaendika hv namshusha P
Kweli hapa nahisi kuna ukweli ndani yake maana hili penzi jipya limekuja kama mafuriko.Hakuna mapenzi ya kweli hapo kaka huyo kutakuwa na sababu tofauti na mapenzi... Inawezekana amechoka kukaa kwao na anataka awe free. So kuwa makini huyo anachotaka ni kutoka tu kwao na sio kuolewa
Hii nayo ni hoja.Mkuu wengi wenye tabia hii wanatafuta nani wa kupewa mimba iliokataliwa na muhusika.
Mipasho tena[emoji23]Kwa hiyo unataka kusema huyu mwanamke ananibaka?
wivu tu na hatuachani
Hilo tukio limeshawahi kunikuta na nilikuja kujua baadae kuwa kumbe dem alikuwa amechoka kukaa kwao,,,alikuwa ananyanyaswa na ndugu zake na hana mama wala baba alikuwa anakuwa anakaa na bibi na wajomba zake so akaona bora ahame akaishi kwake. So mtu wa namna hii huwa anachotaka ni kuolewa tu haijalishi mtu na mtu gani cha msingi aondokane na madhila anayopitia. So mwanamme akiwa katika hali hiyo hawezi kuwa na maamuzi sahihi. So jipe muda umchunguze.Kweli hapa nahisi kuna ukweli ndani yake maana hili penzi jipya limekuja kama mafuriko.
kanicheki tarehe 17/6... baada ya siku 2 ananiambia wazi anataka kuolewa tena hata bila mahari, yuko tayari.
nimechoka aisee maana hio pressure sio ya nchi hii😅😅😅
ila nampenda maana nimemtia majaribuni ndani ya muda mfupi nimeona yuko strong
Case closedWewe dogo unafikiri ndoa ni kuandika sms kama hizo!!
Ndoa ni maisha halisi hakipo hakipo kweli na mnalala njaa
Karne ya leo mwanamke alale njaa!!
Hapo kuna mawili mosi amegombezwa na wazazi/walezi wake anatatafuta pa kujiegesha pili ana mimba na mwenye nayo kaikataa kaamua kukumbuka waliowahi kuonesha nia kwake na wewe ndo ameona akupe.
Akili akili mtu wangu.
mwambie mwambie huku kuna maisha baada ya upendo wa nyege[emoji28][emoji28]Wewe dogo unafikiri ndoa ni kuandika sms kama hizo!!
Ndoa ni maisha halisi hakipo hakipo kweli na mnalala njaa
Karne ya leo mwanamke alale njaa!!
Hapo kuna mawili mosi amegombezwa na wazazi/walezi wake anatatafuta pa kujiegesha pili ana mimba na mwenye nayo kaikataa kaamua kukumbuka waliowahi kuonesha nia kwake na wewe ndo ameona akupe.
Akili akili mtu wangu.