Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

This is a joke. Jamani huyu sikio la kufa hatawaelewa. Hapo hata mumshauri vipi mbususu ishampoteza. Chamsingi mumuombee (in magu'z voice)

Actually mkuu nyie mmekutana pipa na mfuniko. Fanya utakachopenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unayajua mapenz weuwe
 
Hongera boss kwa kufanikiwa kumpata mwandani wako.
 
(hatakama tutalala njaa nitashiba kwa upendo wako ,nikifika kwako nitashiba bila kula)

Alafu unataka kuniambia huyu ni mwanamke mwenye kujielewa na maisha huyu ni mtoto kabsa yaan namaanisha lasaba B
Foolish age + nyege zinampeleka speed ya super sonic 5G+
Hakuna kitu hapo kumbavu kabsa
 

Mkuu mbona mm na wewe tunapitia changamoto sawa katika milango tofauti?


wewe ulileta uzi juu ya mwanamke wako alieachika kwa jamaa huko na mambo kibao


heri yangu huyu ana foolish age ambaye kila mwanadamu alipitia😅😅😅
 
Usikute ni mwanafunzi huyo, Umri wake kwanza,unaweza kuta amefokewa na mama yake huko anataka aje kwako.

Kama hawezi tofautisha X na S
Hayo matumizi ya X tu yanadhihirisha n mwanafunzi huyo,
Et wa ajabu[emoji23]!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu lakini tafuta mwanamke anaejielewa yule wangu mi anajielewa ndomana
 
Simu yako ni line mbili za mtandao mmoja wa tigo, kwenye screenshot inajionesha, sijui hiyo imekaaje kwa wadau wengine, ila kwangu mimi binafsi ni red flag.
 
Simu yako ni line mbili za mtandao mmoja wa tigo, kwenye screenshot inajionesha, sijui hiyo imekaaje kwa wadau wengine, ila kwangu mimi binafsi ni red flag.
Ni kweli natumia line 2 zote za Tigo.
Nanufaika na Data za kutosha mkuu.
Moja kwa ajili ya Data, special kwa Internet (angalia bando la Data), nyingine ndio kwa ajili ya mawasiliano ya kawaida

Hii ya pili nayo ikifika muda wake inapewa 6Gb kwa wiki pili baada ya sim 1 kuishiwa
 
Never trust a woman hata akikwambia Yuko tayar kufa kwa ajili yako
Mwanamke yuko tayari kufa toka siku ya kwanza alipokubebea mimba yako.

Kufa kwa ajili yetu ni asili hio. Angalia wangapi wanakufa wakati wa kujifungua. Utakuja kuniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…