Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Niliambiwa ukiona unaenda sehemu kuoa harafu hupati "kaupinzani" hata kadogo tuu. Ujue watu wanatafuta namna ya kukupa mzigo unao wasumbua...
Mkuu inategemea ntu na ntu.
Kuna madada mpaka wanatongoza kwa style tofauti tofauti na unakuta ana mapenzi ya dhati kweli hataki akukose. So, upinzani inategemea.
 
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu nimejifunza vingi kupitia maneno ya hekma na busara.

uzeeke na busara zako mzee James ajae🙏🙏🙏
 
To each, his own!

Wakuu mnasiriba sana na kupiga spana mno, yaani nimecheka sana comments. Muacheni mdogo wetu achukue mrembo wake! 😀
 
Mkuu mm Tangu walivyonipa GB 5.5 mpaka Leo hawataki kuniuunga tena, walisema niweke Elfu Moja Ili mwezi ujao nipate tena Ila nashangaa Kila nikijiunga inakataa
 
Ukiandika neno BURE kwenda namba 15166 unapewa GB 5.5 au 6 za kutumia ndani ya Wiki 2. Na inabdi uweke Elfu Moja ndani ya Mwezi huo Ili upate hii offer mwezi ujao
 
Hivi ni shule gani wanafundisha aina hiyo ya uandishi? 'Xaxa' ' maixha' 'ww' screenshot nimeishia njiani kuisoma siielewi.
 
Mkuu mm Tangu walivyonipa GB 5.5 mpaka Leo hawataki kuniuunga tena, walisema niweke Elfu Moja Ili mwezi ujao nipate tena Ila nashangaa Kila nikijiunga inakataa
MIMI HUWA SIWEKI HATA MIA mkuu na wananipa. Tena nina line 3 zote zinapokea 6gb.

Mtafute aliekuunga akupe mwongozo la sivyo tafuta hela kidogo nikuunganishe sehem wakuunge.
 
Ukisikia kuoa unaweza ongeza hatua maishani mwako, bas upatw mwanamke kama huyu..
 
mkuu kuna ngazi nyingi za uanafunzi.

any way huyu ni mtu mzima na hasomi hii elimu yenye kifungo cha miaka 30😅😅

anajitambua vizuri sana sema sijawahi kumuweka maishani mwangu kama Mrs GR..

Wewe huyo anakuweka kwenye reli, shauri yako....
 
Wewe huyo anakuweka kwenye reli, shauri yako....
Mkuu yani ukiona ninavyoishi na huyu binti yan utajua hawa wanapendana sana.

mapenz yale ya asili kabisa ndio nay experience

-hakuna kuombana hela hovyo
-hatugombani mbele za watu
-hajawahi kuongea na mm kwa sauti ya juu wala kufoka
-akiniona ananipokea na anatangulia ndani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…