Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Yuko radhi kufa kwa ajili yangu

Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.

Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] nikakwepa

Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.

SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
View attachment 2271569

Mtu wa design hii bilashaka hajui anachokifanya.

Atakuja kujuta maana anamkabidhi mwanaume silaha kali sana dhidi yake.
 
Hakuna mwanamke anaweza vumilia njaa au shida karne hii, hapo nyege ndio zinamsukuma pindi nyege zikiisha ndio utajua maamuzi yake original ni yapi
[emoji15][emoji15][emoji15]
Kumbe na wanawake huwa wanashikwa na nyege kama hizi kiasi cha kujitumisha sms mfuatano pasipo kujibiwa? Sasa mbona tukiwaomba waje gheto wanatulia 67k zetu ndani ya siku mbili tokea kuanza mahusiano! [emoji24][emoji24]
 
Kuna mambo mengine ili uweze kutatua lazima uhoji umri.
Kwa mada hiyo nyie bado ni watoto.
Huyo mwanamke atakuwa na umri 18- 22 maana kundi hili la wanawake wapo hot sana kwenye mapenzi ndiyo wanaanza. Atakuwa amemaliza kidato cha 4 hata mwaka haujapita.
Mwanaume atakuwa na umri 22-25 maana kundi hilo linawaza ngono kila muda.
Wote elimu zenu ni kidato cha 4. Angalia uhandishi wenu ni wakitoto. Kama ndiyo mpo kwenye huo umri, mtaachana muda siyo mrefu maana bado nyie ni watoto (hamjakomaa kiakili).
Ndoa ni maisha halisi na wala siyo maigizo.
Nakubaliana na wewe, lakini hii ID ya @Ghet Rich ina kauzito kake humu JF, kwa hiyo tuishushe vyeo!!
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom