adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
reapit×=repeat✓Man down, I reapit man down
We need back up now!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
reapit×=repeat✓Man down, I reapit man down
We need back up now!
Yuko radhi kufa kwa ajili yangu
Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.
Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] nikakwepa
Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.
SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
View attachment 2271569
Sasa mwanamke aandike kwa huo mfumo halafu msalaba uniangushie mimi mkuu?Mkeo na hizo x x zake kiboko, mkuu nakufananisha na yule ticha
aliesema mtoto wa chekechea wamekubaliana anyonye dushelele lake
Anataka kutafuta mode!Unataka kutafuta medium mkuu au average?
View attachment 2271575someni kwanza !!!
[emoji15][emoji15][emoji15]Hakuna mwanamke anaweza vumilia njaa au shida karne hii, hapo nyege ndio zinamsukuma pindi nyege zikiisha ndio utajua maamuzi yake original ni yapi
Nakubaliana na wewe, lakini hii ID ya @Ghet Rich ina kauzito kake humu JF, kwa hiyo tuishushe vyeo!!Kuna mambo mengine ili uweze kutatua lazima uhoji umri.
Kwa mada hiyo nyie bado ni watoto.
Huyo mwanamke atakuwa na umri 18- 22 maana kundi hili la wanawake wapo hot sana kwenye mapenzi ndiyo wanaanza. Atakuwa amemaliza kidato cha 4 hata mwaka haujapita.
Mwanaume atakuwa na umri 22-25 maana kundi hilo linawaza ngono kila muda.
Wote elimu zenu ni kidato cha 4. Angalia uhandishi wenu ni wakitoto. Kama ndiyo mpo kwenye huo umri, mtaachana muda siyo mrefu maana bado nyie ni watoto (hamjakomaa kiakili).
Ndoa ni maisha halisi na wala siyo maigizo.
Tumuache mkuu kwani mwandiko pekee hauwezi kutosha kuhukumu.Kidemu kitakua ni form one...tena form one D