KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Kuwa na housegirl sio dhambiYaani mke na mume mumekunja nne kwenye masofa mkikodolea TV halafu mnamsubiri housegirl aivishe awatengee, hii ni noma sana.
Bado sijafikia hatua ya kuwa na housegirl, endapo nikifikia, hili sitokubali litokee labda pawe na sababu maalum ya dharura
Wameshupaza shingo hapaMama wa nyumbani ili umsimange vizuri, maana akiomba hata elfu 2 ampe dada yake utasikia sijaoa ukoo mie sina pesa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majukumu gani jukumu la mwanamke ni kukupa mzigo, na kukuzalia watoto mengine yote yanawahusu woteYaani leo hii Mwanamke kufanya majukumu yake kwa Mumewe ni Uhouse girl?
Sio wanawake wote wanatufanyia hiviWanaume wanafanyiwa yote hayo, lakini shukrani yao ni usaliti tu, wanawake wanafanya mazuri sana kwa waume zao sema wengi wenu hamna shukrani
Sio utumwa ni mapenzi hayoMtu chakula kipo mezani eti mpaka apakuliwe kwenye sahani jamani huo si utumwa kabisa ndugu zangu?
Hata hiyo mbususu mnawabania Wanaume mnawapa vile mnapojisikiaMajukumu gani jukumu la mwanamke ni kukupa mzigo, na kukuzalia watoto mengine yote yanawahusu wote
Mama wa nyumbani ili umsimange vizuri, maana akiomba hata elfu 2 ampe dada yake utasikia sijaoa ukoo mie sina pesa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo mlivyokaririMama wa nyumbani ili umsimange vizuri, maana akiomba hata elfu 2 ampe dada yake utasikia sijaoa ukoo mie sina pesa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo wenye tabia hizo lakini wapo wanaume wengi wananyanyasa wake zao kwa sababu hawana kitu na hawana pa kwenda.Wao ndio chanzo cha maumivu yao.
Mtu mwanamke ni mbabe yaani ni mgomvi,mtukanaji tena mbele za watu, makelele, vurugu hio nguvu ya kumuita baby,baby au kumpeti peti utaitoa wapi wakati moyo wako saaa zote umeumizwa kwa vurugu na ubabe wake na kauli zake kali chafu maana pana wanawake ndimi zao hazina filter yaani neno linatoka bila kuchujwa ni kama lilivyo, upendo ujengwa na heshima Hakuna heshima Hakuna upendo bali ni bora liende kufake either kwa interest za watoto au kulinda undugu.
Kwann makahaba wanawanasa waume za watu mwanaume asiyepata heshima kwa mke wake hasa hawa kizazi kipya ataenda kuitafuta heshima kwa kahaba nje, ambapo atatekwa kabisa asikumbuke nyumbani hadi ATM itakapokata. Jiulize kwann wanaume ufa mapema tena bado Wana nguvu kuliko wanawake utapata jibu.
Hiyo siyo sawa.Hakuna kitu kinanikera kama mmekaa sitting room anakuja house girl eti "chakula tayari, karibuni chakula"
Wife sasa " sauwaaa dadakeee" Duh hatari kweli
Kwa kweli kwangu mimi siwezi kukubali kuwa tegemezi kwa mwanaume/mume wangu. Kwanza sitaishi kwa amani. Yaani hata pedi nitegemee aninunulie yeye!!! No way!! Hayo maisha hapana.Na wewe umekubali kabisa kuwa tegemezi?
Kwa akili hizi tushindilie misumari na kuondokaTunapoharibu ni kutaka kumgeuza mwanamke kama mtumwa wako, dunia ilishatoka huko muda mrefu, jadili na mke wako, jengeni uchumi imara, wekezeni ili mkizeeka muweze kwenda vacationa, wewe kitanda hicho hicho toka unamuoa mtoto wa watu, unataka avae vitenge na mishono ya tukuyu miaka yote what the hell, tubadilike tutauana sana kwa ujinga, ukute text baby nambie unalipuka kama mtungi wa gesi haujui wanawake wanaitana baby, mamie, mazoezi haufanyi unafuga kitambi kila saa kujamba huyo mwanamke hisia atazitoa wapi, kila lawama kwenye ndoa mwanamke hivi mara vile unashindwa kujiangalia wewe unakosea wapi, tubadilike vinginevo mauaji yatakua mengi wazee zamani waliheshimika kwanza walijitambua wao wenyewe na sio lazima mke awe mtumwa mfanye awe rafiki mshikaji uone kama hutofurahia maisha hata ukiishiwa atabaki tu.
Sijui hii inatokana na nini.. Ila kwangu naipinga hii, mie wangu glass ananisogezea ila hata mimi namsogezea, ataniletea maji, hata mimi nampelekea maji, kwetu hiki kitu hatuoni kama ni utumwa naona tunachukulia ni sehemu ya mapenzi yetu, nina nafasi ananiagiza kabisa na dukani, tena nikiwepo ni nadra saana mke wangu kwenda dukani au sokoni.Wanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Usiolewe tukufaidi vizuriKuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Huenda mtoa mada ni MarioDemokrasia.!??
Kuishi na Mke asiyekuheshimu mkuu unaona ni sawa..!??????...
Hakika WANAUME tunahitaji maombi..
The unpaid Seller toa neno Bro.
Kabisa.Simamia unachokiamini tengeneza familia yako iwe vile unavotaka akiona hawezi muache aende
Unyanyasi upo kwa pande zote tena kwa viwango sawa.Sema wanaume ufa nayoWapo wenye tabia hizo lakini wapo wanaume wengi wananyanyasa wake zao kwa sababu hawana kitu na hawana pa kwenda.