Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Huyu bwege jeuri sana..kipindi kile aliwapasua mahakama....lakini ndio ukweli wenyewe...
Ila nafikiri mwisho wake unakaribia..hataamini.....
 
Huyu bwege jeuri sana..kipindi kile aliwapasua mahakama....lakini ndio ukweli wenyewe...
Ila nafikiri mwisho wake unakaribia..hataamini.....

man hes is >8 billion dollars (USD) worth, huyo hana mwisho labda useme wapagazi wake chawa weusi wastaafu hao ndo wana mwisho, huyo yakiharibika saana atakuwa wa kwanza kujua na kusepa, kipindi cha Magu nilisikia hata alishamia dubia ..
 
man hes is >8 billion dollars (USD) worth, huyo hana mwisho labda useme wapagazi wake chawa weusi wastaafu hao ndo wana mwisho, huyo yakiharibika saana atakuwa wa kwanza kujua na kusepa, kipindi cha Magu nilisikia hata alishamia dubia ..
Hakuna anaepinga utajiri wake!..
Muda utaongea...tusubiri mahojiano yake!
 
Polepole aliposema yeye na akili zake timamu hawezi kununua taifa gas, pale alimaliza kazi, tayari ameua brand yake, hivi Mtanzania gani sasa atatoka afike dukani aone taifa gas anunue....

Jamaa anawakaanga sana aisee..
 
Wazalendo kwenye Vyombo vya Usalama vya nchi wanamwangalia tu. Ingekuwa ni wale wajeda wa West Africa sijui hali ingekuwaje? Ama hakika Tanzania ni shamba la bibi.
 
Labda hoja ya kifo cha Magufuli kwanzia kiwandani kwake , pole pole kasema shida ilianzia Morogoro
 
Polepole aliposema yeye na akili zake timamu hawezi kununua taifa gas, pale alimaliza kazi, tayari ameua brand yake, hivi Mtanzania gani sasa atatoka afike dukani aone taifa as anunue....

Jamaa anawakaanga sana aisee..
Na ni huyo ndiye aliyesambaza gas (Taifa gas) nchi nzima bureee. Ila sharti lilikuwa lazima uende na kitambulisho chako cha NIDA.

Sasa juzi Polepole alipoongelea Ile triangle ya CCM,NIDA na NEC nikaelewa kwanini ili kupewa Taifa gas mtungi mmoja mtu alipaswa aje na kitambulisho cha NIDA.
 

vielelezo gani alivyotoa Polepole zaidi ya kupiga domo? au kuna fact yoyote aliowasilisha ?
 
Nani alikudanganya kuwa unaweza pata mkopo benki sababu Kuna matajiri wameweka deposit zao ?

Mkopo mkopaji atapata kama anakidhi vigezo vya kukopesheka sio sababu eti benki kumejaa minoti ya vibopa ,kibopa akiweka Hela yake benki ni zake hazimhusu mtu yeyote ,benki husika tU ndio inanufaika na interest ya hicho kibunda.

Ni kweli matajiri wakiwekeza nchini faida ni nyingi ikiwemo kutoa ajira ,Kodi na huduma watoazo , hivyo wawekezaji wakubwa bado wanahitajika kupunguza ombwe Hilo

lakini matajiri pekee hawawezi kimaliza deficit ya ukosefu wa ajira ,jitihada za pamoja na serikali pamoja na mazingira Bora ya watu kujiajiri iwe kwenye kilimo,uvuvi ,madini,ujasiriamali na kumiliki viwanda ,hustle is real .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…