Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,236
- 3,544
Hili jambazi nikilikamata popote naliuwa kwa kukata kiungo kimoja kimojaView attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Kuahirisha kufikiri kwa nafsi 😳 !Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi a.k.a kujizima data
Kuahirisha kufikiri kwa nafsi ni tabia ya mtu ambaye huenda unafahamu kwamba uwezo wake wa kufikiri hauna shaka na ana elimu ambayo inakubalika kimataifa lakini hufanya maamuzi ambayo hayalingani na elimu yake na hufanya hivyo kwa makusudi ili kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi
Technically ni damage control...Kwa kifupi amechelewa au amewahi kusafisha hali ya hewa?
1. Je atakuwa akijitetea kutokana na tuhuma za Mzalendo halisi, Mh; Balozi Dr Hamphrey Polepole?Ila Polepole ni mtu mzito sana, ilikuwaje wakawatuma watu wa Wazito kama Kubwa la maadui limeamua kupigana
kwa nchi zilizo siriazi huyu fisadi alitakiwa awe keshalambishwa shaba hadharaniNiache kulala nisikilize porojo za Mtu
Mahojiano yamehairishwa mpaka pale itapotangazwa tena....View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Rostam hawezi kuwa na vita na mtu bwege kama polepole, itakuwa kujidharirisha. Ye anataka kuwafuta matongotongo kidogo tu haya malofa yanadanganyika kibwegebwege. Yasipohitaji basi atayaacha yaendelee kudanganyika na upumbavu na umaskini wao.😂
Nadhani vita ya Rostam na Polepole itakayoathirika ni CCM
Wote wamekuwa Wajumbe wa Kamati kuu ya chama hivyo wanajua mambo mengi kwa sababu wamekuwepo pia kwenye sekretarieti
Majibizano yakikata kona na kwenda personal basi CCM itaumizwa pakubwa 🐼
Natamani hiyo Press wangekuwepo watangazaji wa Citizen tv akina Abdul kadir, Yvonne, Barron, Sammy, Trevel, Jamila, Mashirima na Muongizaji awe Jeff dadeki 😂😂✔️
Azam hawana mtangazaji wakuuliza maswali magumu kama yule wa Star tvMahojiano yamehairishwa mpaka pale itapotangazwa tena....
Vp, amefisadi 'puru' la mkeo nini kamanda?!!!!Sana sana atamjibu polepole tu, hakuna cha maana atakachoongea fisadi huyo anayetamba sana awamu hii
puru lakoVp, amefisadi 'puru' la mkeo nini kamanda?!!!!
Kama mpinzani wake polepoleNikipata mda nitamsikiliza ila huwa hajui kujenga hoja
Wenzie wamemtuma akajibu. Na wameona point ni Ile 2000 ya gesHuyu hana washauri angekaa kimya mbona JK huwa anakaa zake kimya huwezi kujibu kila kitu