TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Ukiangalia vizuri hizo video unaona kabisa kwamba wote waliomzunguka AKA siku hiyo walikuwa kwenye plan ya mauaji... Yule kijana mwenye mzula mweupe anakuja na wanamuona...wanampa space...wanamhug AKA wanamgeuza...wanaacha nafasi jamaa ashuti...

Mbaya mnoo...jamaa kauliwa na wenzake..

 
Hawa jamaa wamemchoma mwenzao
Ila muuaji nae kiboko sio kwa mbio hizo au vid ilikua inapelekwa mbio 😂
 
Hzo risasi sita zko wap
 
Sahihi wenzake wamechoma
 
Yuko pia jamaa mtanzania aliyeshambuliwa kwa risasi alikuwa anasoma PhD. Nafikiri alikuwa lecturer wa St augustine University Mwanza. Nadhani tatizo kubwa S.A ni ukosefu wa ajira, ubaguzi, magenge, biashara haramu na wahamiaji haramu kuwa wengi sana.
 
Mwamba unanikumbusha miaka ya 95
 
Waanze na huyo bodyguard ambae alikimbilia kwenye Noah nyeupe



 
Nimeona ile video aisee yule binti alikua analia,huku anasema “I want my mom”ila jamaa alikua busy na kurecord video hata kumtuliza,afu kuna maneno alikua anasema kuhusu bint kutaka kujirusha
Anaoekana alikuwa mkorofi Kwan alikuwa anarekodi yeye au cctv kule hotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…