TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Pay back time, AKA alikua ni main suspect kuhusu kufa kwa ex girlfriend wake kwa 'kujirusha'gorofani pale mother city, ni revenge ambayo binafsi its ok,hii ni push back kutoka kwenye familia ya ex wake, Nami ningefanya hivi hivi, huwezi akanipotezea mtoto wangu then kwako life akawa normal, it's a NO
 
Nimeona watu wanasema ni kisasi kutoka kwa familia ya girlfriend wake yule aliekufa mwaka jana baada ya kujirusha gorofani,jamaa alidai yule dada alicommit suicide baada ya wao kuwa na ugomvi humo chumbani!

Baada ya ugomvi yule dada alijirusha through balcony,lakini familia ya yule dada nasikia hawakuamini kama angeweza kujirusha bali waliamini jamaa alimsukuma ili afe sasa wapopo ndo wanadai ile familia imeamua kulipa kisasi kwa kumuua jamaa!
 
Nami ndo nimeona wengi wanasema hivi
Mana kiukweli kifo cha yule dada hata uwe chizi huwezi amini eti alijirusha
 
 
Police waanzie uchunguzi wao hapo.
 
 
Shida ya wasouth ni kwenye akili yao..kwanza ni ndogo pili hawajishughulishi na tatu wanaona kila mtu ana akili kama yao...

Angalia jinsi wanavyofanya mauaji halafu wanatafuta sababu za kitoto..mwangalie pistorius...then aka walivyoua magirlfriend zao plus yule muhindi mjinga aliua mke south akakimbilia uingereza..angalia wauaji wa lucky dube...

Hiyo nchi nilienda once na sidhani kama nataka kwenda tena...
 
Yule mhindi hakuwa msouth yule Diwan aliyemuua mkewe Ani Dewani. Ila kilichonistaajabisha ni jinsi alivyowalipa pesa ya kawaida wakina tongo kutekeleza mauaji hayo.

By the way yule mhindi ni shoga na nadhani ashaolewa. Familia yao ina pesa nyingi mno pale Uingereza wanamiliki ma biashara ya majumba ya kulea wazee ambayo anaisimamia yeye.
 
Duh! Tulio na mabinti warembo tumekuelewa mzee kutoka kwa Fidel Castrol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…