Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee tena yule ni mwana wa karibu sanaa, cheers yao ile ya mwisho walikuwa wanasema wherever you goooo....i goooooUpo sahihi 100% jamaa wamemuua washikaji zake ndio wamesuka MPANGO wa kumuua yaan inauma sana, wana sio wana
Umetisha mkuuPumzika kwa amani
Kwa heshima yake wacha nichukue dakika chache kuweka na kutafsiri mashairi yake kwenye kazi waliyofanya na Joh Makini - Dont Bother
View attachment 2513197
woosaaa!! I tell ’em niggas don′t bother
wosaa!! Nawaambia wafanye yao waache yangu
I be in that east coast getting more zaga
Ntakuwepo east coast nimechill Napata zaga
I be in the land of my forefathers
Nipo ardhi ya mababu zangu (Afrika kusini)
In the club spending rands on a gold bottle
Club nakata mkwanja kwenye chupa za dhahabu
I’m with Joey on this track
Nipo na Joh Makini kwenye hii track
Tz mega star I be going hard
ni Collabo na staa wa bongo naikazia sirembi
Ain′t it funny how these niggas used to hate?
nawacheka masela walionidisi sitafika mbali.
Now I’m triple 7 got ugali in my plate
Sasa nipo juu, vyakula vigeni ugali kwenye sahani
Bosi si kelelem, Mungu nibariki, Siku hizi kusaka hela
Bosi si kelele Mungu nibariki, Siku hizi kusaka hela
Keep it super mega Long way if I drop off the top
Nafanya kweli maana nilipo ni mbali nikianguka
J.H.P that’s my strong hold (my strong hold)
J.H.P ndiko iliko ngome yangu (ngome yangu)
Sio Bosi si kelelem niUmetisha mkuu
Sio Bosi si kelelem ni
Nkosi Sikelela = Mungu Ibariki
Huo Nkosi Sikelela ni wimbo wa Taifa wa SA ambao Tanzania tumeucopy mwanzo mwisho Mungu Ibariki Tanzania hatuna hati miliki na wimbo wa Taifa tunaoutumia maana ni wimbo wa SA na mali ya SA na kuna kipindi walitaka kutufungulia kesi,
Now I’m triple 7 got ugali in my plate
Sasa nipo 777 napata ugali kwenye sahani
Keep it super mega Long way if I drop off the top
Weka umakini muda mrefu km nikianguka toka juu
Nimesahihisha baadhi ya makosa aliyoandika...
Duh! A very close range.Risasi moja tu.View attachment 2514123
Kama umeishi SA nathani unajua ya kuwa hakuna sehemu salama hasa ukiwa unawindwa au una beef na mtu/watu, ile barabara ni maarufu sana na haikuwa Gauteng bali ilikuwa Kwazulu Natal lakini hata uwe Long road(CT) au Table View yaani popote any shit can happen to you at any unexpected moment.Jimbo la Gauteng -South Africa sio sehemu salama kwa binadamu kuishi , unless huyaoendi maisha yako
It's very possible ikawa ni sababu tofauti lakini kilichofanya wakahisi ni sababu ya yule aliyekuwa girlfriend wake ni kwa vile lile tukio lilivuma sana na secondly yule demu kwao ni Durban na watu kwenye social media walikuwa wakimpiga mikwara AKA kuwa asikanyage huko naye alikuwa akiwajibu 'mavi'.Wengi wanasema hayo lakini unaweza kukuta ni sababu nyingine kabisa
Yeas boss,Translation ya mwendokasi
It's very possible ikawa ni sababu tofauti lakini kilichofanya wakahisi ni sababu ya yule aliyekuwa girlfriend wake ni kwa vile lile tukio lilivuma sana na secondly yule demu kwao ni Durban na watu kwenye social media walikuwa wakimpiga mikwara AKA kuwa asikanyage huko naye alikuwa akiwajibu 'mavi'.
Inaweza kuwa sababu ni nyingine na mtu akaona akimdondoshea Durban itahisiwa ni ile issue ya yule aliyekuwa demu wake lakini pia wahuni tu wa Durban wasiohusiana na familia ya yule demu wanaweza kuamua kumshusha kivyaovyao bila familia kujua hizo zipo hata US na ambacho kinahisiwa zaidi ni mpango uliopangwa na familia(vendetta).
Don Design inawezekana akawa anajua kitu, there is that possibility nadhani kwa kuchukua printout kwenye simu yake(kama amehusika) upelelezi unaweza kuwa rahisi.
Una uhakika AKA ni black?Watu weusi tutakuwa tuna laana sio kwa kupenda kuuna kwa visasi vya ajabu
Alienda msibani na baada ya mazishi aliongea na aliyekuwa baba mkwe wake face to face, pia later on alikuja kusema kuwa yale mazungumzo na aliyekuwa baba mkwe wake mzee alikuwa na mchanganyiko wa hasira na huzuni(japo according to him wote wawili walikuwa na huzuni).Hivi AKA alisemaje kuhusu kifo cha girl wake?au alipiga kimya tu
Kwahiyo ni mzungu yule [emoji1] [emoji1787]Una uhakika AKA ni black?
It's not so safe in RSA. Lucky Dube was gunned down just like that.Ndio watu wamekula kichwa hapo Florida south africa
Tatizo sauti ilikuwa mutedHawakuonesha kama hii aka alivyouawa half wanasema wamekufa wawili kiaje wakati tunaona alopigwa risasi ni aka tu
Inachukua sekunde 20 kumaliza clip nzima ya risasi 10Inaweza ikawa ile risasi imeua wawili kwa mpigo au kulikua na shooter mwingine pembeni ambae hakuonekana kwenye camera
Si unajua ambush inavyokua
Siyo half cast?Kwahiyo ni mzungu yule [emoji1] [emoji1787]
South Afrika mauaji yana dhamana ndo maana yanaendeleaIna maana yule alomkimbiza mwenzie kumbe wote wauaji na hawajakamatwa hata mmoja na don hajakamatwa
Mama yake sio mweusi ila baba yake ana ni kama chotara sijui kabila gani haoKwahiyo ni mzungu yule [emoji1] [emoji1787]
Kulikuwa na backup ili kumlinda assassin Incase of anything ili haweze ku'escape haraka eneo la tukio kwasababu walihisi uenda mmoja wao anaweza kuwa na silaha aka react halafu muuaji akajeruhiwa au kuuliwa hivyo ikaleta shida mbeleni sasa ili kufanya "Mission to kill" iende kama ilivyopangwa lazima backup iwepo kwani assassination inahitaji uharaka wa kutenda na kupotea eneo la tukio kama mtekelezaji alivyosepa na inaonyesha ni muuaji mzoefu sanaInaweza ikawa ile risasi imeua wawili kwa mpigo au kulikua na shooter mwingine pembeni ambae hakuonekana kwenye camera
Si unajua ambush inavyokua