TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

IMG_7660.jpg

IMG_7659.jpg

AKA anafanana na baba yake hadi kunyoa jamani na baba nae anaonekana msela kweli halaf yupo calm
 
Yule alikuwa na uchizi wake miaka 22 ushaenda rehab mara kibao
Una date na msanii tena mkubwa unategemea uwe na amani ya moyo
Kama wamemuua kisa mtoto wa totally wrong sababu habari zinasema yule msichana ashawahi jaribu kujiua mara nyingi
Na watu wengi drug addicted wana hizi mambo
Duuhh! Aiseehh nilikuwa sijui niliona habari juu kwa juu tu. Ni hatari sana!
 
Sasa unamuona yule mzungu au mhindi??? Mixed races wanatambulika ni BLACK.
SA, Namibia na nchi zote za kusini mwa Afrika kwa ujumla mixed hawatambuliki kama blacks, hiyo iko US/Canada and Europe.
Kusini mwa Afrika Angola/Mozambique mixed race wanaitwa mulatto/mulatta na English speaking countries za Southern Africa they're categorized as 'coloureds' au kama Waswahili wanaoshi huko ambavyo huwaita 'marangirangi'.
Apartheid regime categorization was very different na ya nchi za Wazungu wa Ulaya na US/Canada hiyo iliambukiza nchi zote za kusini mwa Afrika na Wareno nao walikuwa na categorization almost similar na ya Makaburu.
So AKA kwa SA ni coloured na si black, blacks ni wale ambao hawajachanga kabisa(kwa kusini mwa Afrika) na races nyingine.
 
SA, Namibia na nchi zote za kusini mwa Afrika kwa ujumla mixed hawatambuliki kama blacks, hiyo iko US/Canada and Europe.
Kusini mwa Afrika Angola/Mozambique mixed race wanaitwa mulatto/mulatta na English speaking countries za Southern Africa they're categorized as 'coloureds' au kama Waswahili wanaoshi ambavyo huwaita 'marangirangi'.
Apartheid regime categorization was very different na ya nchi za Wazungu wa Ulaya na US/Canada hiyo iliambukiza nchi zote za kusini mwa Afrika na Wareno nao walikuwa na categorization almost similar na ya Makaburu.
So AKA kwa SA ni coloured na si black, blacks ni wale ambao hawajachanga kabisa(kwa kusini mwa Afrika) na races nyingine.
Really?? Basi huku US mixed races wote wapo kundi moja na blacks, Weupe ni wao tu na hata Europe ndio hivyo hivyo. Hao waturkish, Wa portuguese, Wa spanish wala na wao hawatambuliki ni white, wanatambulika kama Mediterranians , Wao mweupe/white ni hawa wanakua wa kama rangi ya pink vile. Ila hata hao ma rangirangi wenyewe tu wanajiona ni weusi zaidi kuliko kua weupe. Ukiwa rangi rangi halafu ukajifanya wewe mweupe kuna jina lao la slang wanaitwa " Choc Ice".
 
Yeah [emoji106][emoji106], it's very different in the US and Canada.
 
Hivi hakuna alokamatwa ?any update?
Naifatilia sana hii murder case sijasikia mtu yoyote kukamatwa.Wale jamaa watakua ni professional hitman maana walivyotoweka pale inawezekana kabisa kuna gari ilikua inasubiri na haikuonekana kwa CCTV, ngoja MONSTER labda atakuja kueleza maana inaonekana anaijua sana South Africa na hayo maeneo. Haya mauaji yamenikumbusha yale mauaji ya aliekua Waziri Mkuu wa Japan, Enzo Abe, jamaa nae alimbutua risasi kwa karibu kabisa ile anataka kuchomoka tu walinzi weshamdaka na silaha yake.
 
Duuu hata yule Don design
 
Daah noumer, ila kuua mtu na pistol kwa ukaribu vile lazima uwe umepiga msuba aka mjani aka ganja aka bangi..hamna mbongo mwenye roho ngumu kama wasouth angemfanyizia mwigulu - jamaa simpendi yule kwa madharau yake.

Wasouth wana roho ngumu hivi analala kabisa usiku kwa amani au kuna vitu anatumia
Wazazi wanavyolia vile halaf baba ake Aka anaonekana mpole sana sana maskin anatabasam tu halaf anakaa kimyaa
 
Daah noumer, ila kuua mtu na pistol kwa ukaribu vile lazima uwe umepiga msuba aka mjani aka ganja aka bangi..hamna mbongo mwenye roho ngumu kama wasouth angemfanyizia mwigulu - jamaa simpendi yule kwa madharau yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1590821797.jpg
 
Back
Top Bottom