jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Weka picha ya walio muhukumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni story nyepesi nyepesi. Issue yake ni kupita na underaged girls sio watoto wadogo. Na katika hati ya mashitaka hakuna sehemu ambapo kumeandikwa alikutwa na ushahidi wa kutazama ngono za watoto wadogo wa miaka miwili au picha zao.Safi sana akafie jela
Kwa wasiojua tu huyu jamaa alikutwa kwenye laptop yake images za watoto wadogo mpaka miaka miwili wakiwa uchi akiwa ame download images zaidi ya Elfu tatu
Amebaka sana ameshiriki ngono kwa underage
Hakuna ubaguzi hapo bali alitenda madhambi yote
Kuna watu washenzi sana hivi unaanzaje kuwa na mapenzi ya kuangalia uchi wa mtoto wa miaka miwili au mitatu kama sio sicko?
Jeffrey Epstein alikuwa mweupe kafa na dhambi zake na alikuwa rafiki mkubwa wa Prince Andrew na watu wamemchukia Andrew kuwa na rafiki wa hivyo
Nae alikuwa na kesi kama hii hii ya Kelly na alihukumiwa miaka 20 jela na baadae kukutwa kafa jela ya Manhattan
Ubaguzi una play part kwa kiasi chake. Kwamfano katika kesi ya R Kelly anapambana na ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi.Mkuu Ghislaine Maxwell kahukumiwa miaka 20 kwa kusaidia unyanyasaji. Hakuna suala la rangi hapa. Tatizo ndugu zetu wengi wakipata pesa na umaarufu wanageuka miungu. Wanataka kulazimisha kila wanachotaka.
Inasikitisha sana. Tukiendelea kuwa na tabia ya kufananisha na wazungu katika maswala ya haki tutaendelea kuonekana mbwa.Hii mtasemaje
Haya ndiyo mambo
Mnatakiwa kupaza Sauti
Ova
Mshana Jr
View attachment 2277336View attachment 2277337View attachment 2277338
Bado wakili wake amepeleka pingamizi kuhusu adhabu so haijawa confirmed kuwa atatumikia moja kwa moja au hukumu inaweza kuwa revoked.Ni 30 without parole au with a possibility of parole?
Coz usishangae baada ya miaka 3 akawa uraiani
Kabaka kasingiziwa. We mtu walikuwa wanaenda wote geto wanatumia vilevi, wakishalewa jamaa kaomba gemu kapiga demu anasubiria miaka 50+ imepita anasema jamaa alinibaka. Mtu ashakuwa bibi.... Huo ujinga ni huko ulaya tu, Afrika hakuna ujinga kama huo utawafanyia watu!When woman loves[emoji848][emoji848]
Sema nini badae watampunguzia miaka tu
Si unaona Babu Bill Cosby nae alibaka akafungwa maisha badae kakaa zake miaka miwili akaachiwa[emoji848][emoji1745]
Naogopa asijiue asee mzee wa LONGEST TONE in the world
Kabisa. Yaani wazungu anaweza tokea mwanaume mtu mzima anaruka na bwana mdogo wa kiume miaka 17. Watahoji kama kulikuwa na consent watasema hakuna kesi hapo.Ila angekua gay wala asingekua nakesi
Machoko sanaYana wivu sana mazungu [emoji57][emoji57]
Malaya kidogo basi.Binti wapi dear...Malaya tu wote hao walikuwa wanajiuza kwake , kwa msaada wa kuletwa na wazazi wao kwake, ( wazazi wenyewe njaa kali)
Wewe una ushahidi gani mbona yanakutoka maneno kama ulikuwapo mitaa anayoishi?!Ni sawa kuna watu wanasingiziwa na wengine ni kweli kabisa wanafanya huyu R Kelly hasingiziwa bana, hata Tz sheria iwe kali mtu hata akimbusu mtoto sio wake afungwe
Hizo ni story nyepesi nyepesi. Issue yake ni kupita na underaged girls sio watoto wadogo. Na katika hati ya mashitaka hakuna sehemu ambapo kumeandikwa alikutwa na ushahidi wa kutazama ngono za watoto wadogo wa miaka miwili au picha zao.
Kasome vema ile hati ya mashitaka. Ni racketeering, sex trafficking, sexual intercourse with minors, na battling with sexual abuse.
Na hizi tuhuma zote zimeletwa kwa sura ya allegations bila hard evidence, ushahidi ni testimonies za hawa wadada wanaotajwa kuwa victims ambao wamekuwa kimya kwa miaka mingi sana na kuibuka ghafla kwapamoja.
Nyuma ya pazia kuna watu wanapambana na huyu jamaa wameamua kutumia media na hizi kesi kumshinda nguvu.
Kwahiyo unataka hao watu weusi wakifanya ujinga waachwe tu?.Hizo ni nchi za watu wanaojielewa.huu ujinga tubaki nao sisi.Mike Tyson nae ilikuwa azamishwe kwa ubakaji sema sshv yupo broke apeche alolo hawana time nae
Mizungu ina wivu mbaya sana!
sema watu hawajui tu
Taja mmojawapo aliyefanya makosa kama aliyoyafanya R kelly yakathibitika alafu akaachwa.Au magereza zote zilizoko uko zimejaa watu weusi tu.mnafanya ujinga alafu mnakimbilia kuhificha kwenye kichaka cha ubaguzi wa rangi.Nambie mtu mweupe Maarufu aliepewa hiyo kesi akafungwaaaa...???
Ata wewe unaweza kumshtaki.mamlaka haziwezi kufanya kila kitu kama hakuna mlalamikaji.Marekani haijaanza kua na watu weusi leo.Ubaguzi wa rangi upo dunia nzima ila weusi wenzetu wamezidi kufanya uhalifu wakijinga.Matukio ya kutumia silaha,madawa ya kulevya na unyanyasaji wakijinsia mara nyingi wanafanya watu weusi baada yakupata vipesa.Eminem anabaka daily...kimyaa wametuliaa[emoji57][emoji57]
Atoboe nini wakati mafanikio yote aliyokua nayo katapatia uko uko.Wako matajiri wengi tu wenye asili ya afrika na hakuna anayeangaika nao sembuse hao wanaopata viela kwasababu ya kuimba ndo wamarekani waone ni mafanikio yakukusumbua.Ishu kama za MJ tu...hawataki black atoboe
Acha story za vijiweni na kwenye vigango vyakilokole.Ukiingia mkataba wa kufanya Kazi na freemason utakiwi kujitoa ukijifanya kujitoa wanakunyoosha.
Ujui kitu kuhusu Dunia na mifumo yake.Acha story za vijiweni na kwenye vigango vyakilokole.
Industry ni noma sana. Hauchomoki wakikuhitaji
Mwanamuziki wa Marekani, R. Kelly leo amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Sex Trafficking
---
Mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya R&B Robert Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanawake na mabinti wadogo.
R. Kelly amepatikana na hatia za kulazimisha, kushawishi na usafirishaji wa kingono wa binti aliyekuwa chini ya miaka 18.
Tuhuma za uhalifu wa kingono wa Kelly ulijulikana kwa umma baada ya vuguvugu la #MeToo kuanza mnamo 2017. Hatimaye Kelly alikamatwa na Februari 2019 kwa madai ya unyanyasaji wa kingono uliokithiri.
===
R&B star R. Kelly was sentenced to 30 years in prison on Wednesday for charges related to nearly 30 years’ worth of allegations that he physically and sexually abused women and minors.
His 2021 trial was one of the most high-profile cases to spring from the #MeToo movement. It is also one of the most prominent cases in which the victims were mostly Black women.
Prosecutors had asked for a 25-year sentence while Kelly’s defense team had argued for 14 to 17½ years.
“The public has to be protected from behaviors like this,” Judge Ann M. Donnelly said as she delivered Kelly’s sentence, according to media reports.
“These crimes were calculated and carefully planned and regularly executed for almost 25 years.”
Last year, a jury in the U.S. District Court in Brooklyn found Kelly, 55, guilty of one count of racketeering and eight violations of the Mann Act, a law created to curb sex trafficking across state lines.
Kelly’s racketeering conviction included 14 underlying acts. Witnesses, for example, testified that the ’90s hitmaker fraudulently married R&B singer Aaliyah, who was 15 and believed to be pregnant at the time, by bribing a government official to give her a fake ID that claimed she was an adult.
Kelly did this to protect himself legally while he sexually abused Aaliyah, starting when she was 12 or 13 years old, according to prosecutors. She died in a plane crash at 22 years old.
As R. Kelly's career flourished, an industry overlooked allegations of abusive behavior toward young women
He was also convicted of traveling across state lines for illegal sexual activity, coercion and enticement, and transportation of a minor.
Acha kufanya kazi ukae ukisikiliza story za freemason.Ujui kitu kuhusu Dunia na mifumo yake.
Sure....LABDA ukiingia unapewa masharti ikiwamo kuwa sodomize watoto na wakubwa na huku ukirekodiwa kisiri Ili ukiwageuka wapate kukupiga kisheria...bora hilo la kufungwa kuliko adhabu ya kuuawa....wazee misuti sio watu wazuriNdo shida ya kujitoa freemason, bado Justin Bieber nae wanamnyoosha, hela ya shetani haiendi bure, shetani hana shukrani hata umpe ukoo wako wote. Akirudi kwa shetani na kesi atafutiwa.