TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

Kuna jamaa aliwahi itiwa mwizi na pisi yake baada ya kukosana . bila sisi kutokea kwa haraka alikua afe..wabongo kwa kufata mkumbo hawataki kusikia sababu
Wabongo wengi wanaishi wakiwa na stress za maisha,wakiona mtu kaitiwa mwizi ndio wanaona wamepata sehemu ya kuondolea stress zao,hii ni hatari sana,

Leo kwake kesho kwako,mob justice ni hatari sana,hakuna aliye salama,u never know when it's ur turn.
 
Huwa nawachanganyaga hawa jamaa mandogo namuita domo kaya, domokaya namwita mandojo .. kama wiki nyuma nmemuona Domokaya tbc akakumbushia ngoma zao kuna ile ya dingi naikubali sana..
Apumzike kwa amani🥺 kifo cha kusikitisha sana
Ngoma, ni verse moja tu ila ni hatari, moja ya ngoma haikosekani kwenye playlist yangu.
 
Huwa nawachanganyaga hawa jamaa mandogo namuita domo kaya, domokaya namwita mandojo .. kama wiki nyuma nmemuona Domokaya tbc akakumbushia ngoma zao kuna ile ya dingi naikubali sana..
Apumzike kwa amani🥺 kifo cha kusikitisha sana
Ngoma, ni verse moja tu ila ni hatari, moja ya ngoma haikosekani kwenye playlist yangu
 
wameru wa kwetu. nenda mwana kwetu. nimehuzunishwa sana. kweli afrika ni kuzimu ukimani dakika yoyote unakufa kwa uzembe wa watu
alale pema salama brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…