DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mbona comment yako umeigeuza juu chini?
Daslam ndio salama?
Salama na sio DSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona comment yako umeigeuza juu chini?
Daslam ndio salama?
Mtu kamuitia mwizi na Ukute hajaiba..kisa tu wamepishana jambo.huyo alisababisha auliwe hii damu atailipa..kama sio yeye basi wanaeAmepigwa na wananchi kwa kudhaniwa Mwizi? Ilikuajee yaan.
Mbna maswali ni mengi kiliko Majibuu. Aaaah
Nweii RIP Mandojo, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umepata demu wa pwani nini? Mbezi mwisho ni wiki 3 zilizopita kijana kauawa na hasira kali kwa kuchinjwa na kuchomwa moto, japokuwa alikuwa mwizi kweliWatu wa pwani kuuana hawana hizo tabia
Inavosemekana jamaa kumbe alikuwa na afya ya akili na waliompigaWasanii wanatakiwa kujibrand vya kutosha ili usife kwa mawe ya wananchi. Jiweke kwenye circle ambayo angalau basi hasira za wananchi upogwe risasi sio kwa mawe mpaka umauti.
Wabongo wengi wanaishi wakiwa na stress za maisha,wakiona mtu kaitiwa mwizi ndio wanaona wamepata sehemu ya kuondolea stress zao,hii ni hatari sana,Kuna jamaa aliwahi itiwa mwizi na pisi yake baada ya kukosana . bila sisi kutokea kwa haraka alikua afe..wabongo kwa kufata mkumbo hawataki kusikia sababu
Ngoma, ni verse moja tu ila ni hatari, moja ya ngoma haikosekani kwenye playlist yangu.Huwa nawachanganyaga hawa jamaa mandogo namuita domo kaya, domokaya namwita mandojo .. kama wiki nyuma nmemuona Domokaya tbc akakumbushia ngoma zao kuna ile ya dingi naikubali sana..
Apumzike kwa amani🥺 kifo cha kusikitisha sana
Ngoma, ni verse moja tu ila ni hatari, moja ya ngoma haikosekani kwenye playlist yanguHuwa nawachanganyaga hawa jamaa mandogo namuita domo kaya, domokaya namwita mandojo .. kama wiki nyuma nmemuona Domokaya tbc akakumbushia ngoma zao kuna ile ya dingi naikubali sana..
Apumzike kwa amani🥺 kifo cha kusikitisha sana
Bro unajua ulichokiandika kwelii? Upo nje sana ya dunia upo mwaka 2004 hukoMarasta machafu lazima uitwe mwizi
Kuna mwenzao Mmoja alikuwa kama dancer wa Bushoke alikuwa anaitwa SEMPAYA nae alikufa kifo dizaini kama hiyo Maeneo ya SinzaMarasta machafu lazima uitwe mwizi
Hebu rudia ili tuelewe mkuuuInavosemekana jamaa kumbe alikuwa na afya ya akili na waliompiga
wameru wa kwetu. nenda mwana kwetu. nimehuzunishwa sana. kweli afrika ni kuzimu ukimani dakika yoyote unakufa kwa uzembe wa watuView attachment 3066818
Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa.
===
Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea mtafaruku kati yake na mtu ambae ndio aliemuitia mwizi.
"Nimeongea na Domokaya analia tu hawezi hata kuongea vizuri, anasema tu Mandojo, Mandojo Soggy Doggy Anter ambae nimeongea nae na kuthibitisha kutokea kwa msiba huu. Innalillahi wa inna ilayhi rajiun
Tunaendelea kufatilia taarifa zaidi
DJ FETTY