Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Humu ndani wanapenda habari za uzushi ila ukitizama kwa umakini huyu si yule aliyemtishia nape bastola kwa 100%
 
Huyu kamanda Sirro mbona ni zero nzima hi mbuz Bado linangangania ofisi mam toa huyo mtu mjinga na mnafiki
 
Watu wameswitch off ubongo wamewasha makalio tena walivyo moto hawawezi kukuelewa hawa nyumbu.[emoji23][emoji23]
 
Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.
Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Polisi walioua mtwara pia walitumwa na Magufuli? Yaani asubuhi yote hii umelewa?
 
Apigwe mvua ya maisha au kunyongwa mpaka kufa apotee kabisa.

Yaani alienda kujificha uko uko kusini, Sirro astaafishwe tu hana uwezo wa kufanya kazi
 
Huyu Mwenye jezi ya Yanga anaitwa Gilbert Kalanje na aliyemtishia Nape anaitwa Mbuta kwenye picha hapo hayupo
 
Picha ya 2017 anaonekana ka black flani iviiiii
Picha ya 2022 anaonekana maji ya kunde iviii

2017 vs 2022 ??
 
Nina mashaka pia mm kuhusu huyo mtu
 
malipo ni hapahapa duniani.watu hao wako wengi sana jeshi la polisi ndo maana unaona makesi ya kubambikiana yapo kibao.Jeshi hilo limejaza vilaza wengi sababu wengi wao ni watoto wa wakubwa na wengine wamekulia kota na tabia zao zilishindikana wazazi wao wakaamua kuwapeleka jeshi la polisi.
 
Magufuli alifanikiwa kugeuza jeshi la polisi kuwa genge la majambazi.

Mungu asingefanya yake,hii miaka 5 chini ya Magufuli nchi ingesambaratika sana kiusalama,uchumi nk
 
Waswahili wanasema ameingia kwenye 18 mwenyewe 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…