Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Karma hufanya kazi japo mtenda anaweza kusahau uharamia alioutenda, bado wale waliohusika katika mkasa wa lisu nao popote walipo watubu tu maana wasipotubu dhambi ile itawatafuna bila huruma
 
Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.

Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Huu si uungwana mkuu, muache jamaa apumzike.
 
bado bashite aliyewatuma kumtolea bastole Nape. huyo jamaa alikuwa na kiburi sana na anaweza kuwa ameua watu wengi sana, hata siku ile kama pasingekuwepo na watu angeua mtu na wala isingejulikana. amepata malipo yake, hadi aje atoke, sio leo.
 
Hilo sura lake ukiliona utajua roho mbaya tupu, bora walifunge tuu na linaonekana limeshaumiza wengi sana, jeshi la polisi inasemekana linaongoza kwa kuwa na wezi, wala rushwa na majambazi wengi kuliko sehemu yeyote ile
 
Unachotetea ni watu kutishiwa maisha kwa kunyoshewa silaha za moto. Umeona uchungu habari za mwananchi kuliko matukio ya kifedhuli ?!

Mwendazake alituharibia nchi na mambo ya wasiojulikana, ambao leo wanajulikana . Ulikuwa utamaduni wa kishenzi sana
 
Kwanza walisema yule anaitwa Henri Kisandaku sijui, huyu ana jina la kiislam. Isitoshe huyu yupo Mtwara miaka mingi sana, sasa sijui Dar alipelekwa lini
 
dunia duara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…