Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.

Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Kudadeki umepigilia kwa nguvu hadi nmecheka kifala sana aisee
 
Here we go..
 
kwa hiyo Mwigulu Nchemba aliudanya umma wa waTanzania live kabisa kuwa huyo jamaa si polisi wakati ki ukweli jamaa alikuwa polisi?? na ni mara ngapi mwigulu audanganya umma wa waTanzania ??
 
Huu ndio umuhimu wa vyombo vya habari

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sirro ni jambazi anatakiwa ajisalimishe haraka! lakini kwa nchi waliologwa kama Tz ni bwiii kimya!1 Sauti tena Sirro ni jambazi
 
Mambo nswano! Mungu kashuka sasa jamani tumpe ushirikiano kha! Sirro na Mwigulu tokexeni haraka! You have no damn right to enjoy our taxes,
Imagine jamaa alikuwa mkuu wa upelelezi wilaya! Yaani mtu kamtishia Mbunge hadharani, anaenda kupandishwa cheo..... Unafundisha nini askari wengine?
 
 
Leteni picha inayoonekana vizuri na ipostiwe kwenye mitamdao

Nchi nyingine Sirro angeshurutishwa kung'atuka

Hiki ndicho kitakuwa kipimo (indicator) kizuri sana cha mwelekeo wa utawala wa SSH.

Sirro akiendelea kuwa madarakani na jeshi la polisi lisipofanyiwa “OVERHAUL” itakuwa ni UTHIBITISHO kuwa hatuna nchi bali a true “banana republic” sawa kabisa na Equatorial Guinea - the scum of African countries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…