Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Wewe unamzungumzia mmoja wakati walioshikwa ni 7
 
Si bora hata hao Equatorial Guinea wameshiriki Afcon Cameroon?
 
Hili ndilo lile kundi ambalo makonda alikuwa akilitumia sana kufanya uhalifu wake ikiwa ni pamoja na 'kudhulumu maisha' ya watu (rejea taarifa USA) Sasa ni wakati mzuri kuanza kuwajua waliofanya uhalifu mkubwa na waseme 'waliopotea' wapo wapi!
 
Kuna vitu vingine hutokea kama ishara kuonesha yale mambo ambayo hatuyaoni...
 
Hawa jamaa watakuwa wameua watu wengi sana hapa chini ya ardhi,
Kamanda Sirro jitafakari kama bado unahitajika katika ofisi za Umma.
 
Leteni picha inayoonekana vizuri na ipostiwe kwenye mitamdao

Nchi nyingine Sirro angeshurutishwa kung'atuka
Mabeyo na Sirro ndio waliomtetea Samia mpaka amekuwa rais wa awamu ya sita, kuondoka kwake kutakuwa ni kwa amani kuliko hizi presha za JF.
 
Aseeeeeeeeeeeeeee
 
Anatisha -ayo macho
 
Mbona sura tofauti. Mwananchi wameingia chaka hapa.Au ndo mbinu ya kuuza gazeti ?
 
Kama ni kweli mwambie jamaa akitoka sero afungue kesi na adai fidia milioni 100,, mie mnigawie laki 5 tu ya consultation fee. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…