Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Mabeyo na Sirro ndio waliomtetea Samia mpaka amekuwa rais wa awamu ya sita, kuondoka kwake kutakuwa ni kwa amani kuliko hizi presha za JF.
Sawa. Lakini kisiasa, Sirro anazidi kumuwekea wingu zito sana Samia mbele ya jamii ya watanzania wote hata CCM - na kimataifa. After all, he is on the verge of retirement.

Kimkakati ni muhimu atafute namna ya kumuweka mbali naye hata kwa kumlipa “a price he cannot refuse” IKIBIDI. She has unfettered hold on the national purse strings (sic).

Hata Magufuli alimuweka kando Makonda kinamna alipokuwa a big liability ya utawala wake hasa katika anga za kimataifa.
 
Mikakati ya Rais hatuijui, naamini yapo mahesabu yanayoendelea kumhusu Sirro.
 
Kwenye video, maulidi kitenge alikuwepo na alimsukuma yule jamaa atoke karibu na gari alilokuwepo nape, nimeangalia video iliyo postiwa na efm kwa jinsi kitenge alivyo shadadia, na kwa position yake kwenye tukio la nape bila shaka anaifahamu sura ya askari muhisika wa tukio la nape na anaitambua kuwa ndio iliyo postiwa kwenye gazeti.
 
Ngoja nipige zangu chuma mida ya lunch inakaribia
[ATTACH
 

Attachments

  • Screenshot_20220128-091546_Instagram.jpg
    85.1 KB · Views: 16
Achana na mambo ya picha zakwenye mitandao.mtu anatambulika kwa majina yake.Hilo gazeti itakua limemhusisha huyo bwana kwa majina yake picha zimetumika tu kupambia habari nahiyo sio issue kubwa kuliko mhusika mwenyewe kutenda jambo na kutambulika kwa majina.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Picha ya 2017 anaonekana ka black flani iviiiii
Picha ya 2022 anaonekana maji ya kunde iviii

2017 vs 2022 ??
Achana na mambo ya picha dunia ya leo.Ukiwa na mawazo ya hivyo utadanganywa sana.lamuhimu nikujiridhisha usahii wa majina sahihi ya huyo mtu.Mambo ya picha ata snapchat zawadada zinabadilisha mtu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sasa imagine, Mwigulu na Sirro wanalidanganya Taifa waziwazi halafu bado wanaendelea kuaminiwa na Rais .... This is pathetic. Tena Mwigulu anapewa Wizara muhimu kabisa sijui ni kwa sababu ya sifa yake ya uongo ....!!
 
Gilbert nimemfahamu akiwa polisi Kawe,tulipoenda kumkabizi mtu alietutapeli dola 5000. Baadae alitugeukia kibao hapo hapo kua boss wangu anaendesha gari ya wizi!! Akatutaka tuiache polisi(lengo kututingisha kwenye mhalifu wetu kwani ni rafiki yao)

Uzuri gari ile tulikodi na mmiliki ilikua ni Jimmy Mwang'onda.

Baadae akahamishiwa osterbay.

Ni shabiki mkubwa sana wa Yanga, kwa muda mchache niliomjua,sishangai sana anayohusishwa nayo,alijiona mungu mtu fulani,utumishi ulimlevya!!
 
Dah kumbe naishabikia Yanga pamoja na huyo mshenzi....!
Sijui nihame? Hata nikihama sijui ntaenda timu gani tena..
 
Watajulikana wote, hatima ya yote kabisa tusishangae kujua baadaye kuwa Sirro na Ndugai walikuwemo kwenye gari ya wale majambazi wa serikali waliomfyatulia Tundu Lissu risasi

Mungu hadhihakiwi
 
Sabaya alisema katumwa unawajua wote aliowatuma. Nape ndio anamjua mpaka sasa hajasema lolote, we ndio Nape au ulikuwepo, kulikuwa na camera zaidi ya 20 na video camera pale, picha sio tatizo kama unavyofikiri. Mpaka Nape akanushe huyo jamaa ni yeye.
Nape ni waziri sasa wa Habari, lazima ameipata hiyo.

Nadhani imekuingia ndani ya kichwa acheni kulopoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…