Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

Tena hapo kwenye nyama jamaa angeamua awawekee sumu angekua na tofauti gani na Hamza
 
Mkuu unachambua kama mwalimu kashasha.
 
Sababu ya kutumia nguvu kubwa kutaka kuonedha Hamza sio gaidi haitasaidia taifa hili kutokana na tatizo la watu wa aina ya Hamza. The guy was just another prodigal son aliye amua kuhusudu ugaidi kama nyezo yake kupigania jihad ya Allah!

Serikali iwe sereous na jambo hili, hata hiyo sekondari aliyo soma ichunguzwe inawezekana wako watu wanaofanyia vijana recruitment hapo. Hawa magaidi on waiting katika kutekeleza ugaidi inaonesha wanapenda mabodaboda makubwa wakiwaiga wenzao wa taliban.
 
Katika Serikali za kidikteta ni kawaida kabisa vyombo vya habari kutumikia madhalimu ili kesho viendelee kuwa hewani bila ya kujua kuwa mwisho wa siku vitakosa wateja na vitakufa vikiwa mdomo wazi🤡🤡🤡
Aisee kweli kabisa anayeandika story tu anapewa mpunga and some few tokens kwa editors. Hii ni kipimo kizuri kuona media gani ziko corrupt.
 
Kwanini AWAUE POLISI TU?
Swali fikirishi...naamini ingekuwa msongo wa mawazo na akaamua ajimalize kwa style ile...kwanza hasingekuwa na target yaaani polisi tu...pili angeuwa kila aliyekutana naye na mwisho angejimaliza mwenyewe na siyo kunyoosha mikono juu akiashiria ku
surrender..kuna wingu nne nyuma ya alichoamua kikufanya Hamza...na inawezekana jeshi la polisi wanajua ndo maana wakampa ya kichwa.
 
unachekesha sana eti watu waliokuwa kwenye dala dala waje watuambie alichokuwa anasema ha ha abiria walikuwa wameshakufa kiakili wapate muda wa kumsikiliza watu walikuwa wanawaza dhambi zao, mashamba, watoto wataishije baada ya kifo chake halafu wasikilize hotuba ya Hamza.
 
Speculations tu ukweli uko na marehem
 
Je wakuu? Kwani uchunguzi umekamika? Au ni taarifa ya awali? Au huwa ni kwa awamu?
 
Huyo ni gaidi. Kwanza alikwenda Misri kusoma dini.Wanasema alivyorudi alikuwa mtu mkimya sana. Hapo alikuwa radicalisé .


Sasa kwa nn awe selective kwenye kufanya ugaidi wake. Mm mwenyewe mkimya Sana naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu...na nilishaenda misri pia...kwa hyo na mm ni gaidi???
 
Sijabisha, ila wewe una uhakika kuwa ile ni sauti ya Hamza?
Kwanini wewe huna uhakika? Kaanze kuangqliq clip za mwanzo kabisa zilizochukuliwa akiwa pembeni yabile daladala, ni kweli ilionyesha Hamza anaongea jambo! Pili fatilia taarifa ya kwenda Misri kusoma aliporudi alikuwa ana dhamira gani hasa tatu fikiria juu ya tukio lake na nne kabisa malizia ayo matamshi unayodhania sio ya kwake.
 


Sawa ila kwa nn ajifunze hayo yote kwa ajili ya kuwalenga polisi tu. Mm sijui Sana kuhusu hayo mambo ila nipoona video jamaa alivyokuwa anapambana na polisi nilijiuliza maswali kibao kuwa huyu jamaa anajua vema kutumia silaha, kujilinda na kujihami....ila swali likabaki kwa nn polisi tuuuuu...kwa nn polisi tuuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…