Hakika!Kabisa kabisa, kwa hili ngosha hawachomoi, IGP akubali au aendelee kuwa kwenye "self denial" lakini ofisi yake has got big big problems, its time to act or to let the rot to continue...
Kwani ndugu zake ni wa dini yake , sasa wangewashika akinani ili wasionekane "wabaguzi", na hilo kabila haliuhusiani na ndugu zakeUnapoteza hela Mbeya kisha unakuja Dar kuua askari wakati Mbeya askari wapo! Askari wa Dar wanahusika nini na matukio ya Mbeya? Hamza kuwa msomali si kigezo cha kutaka kutuaminisha kuwa alikuwa na malengo ya ugaidi, kitendo cha polisi kuikamata familia yake kilikuwa ni cha kibaguzi kikabila na kidini.
Turushie hiyo kitu pleaseKuna video ipo humu ilirekodiwa ndani ya ile daladala alioisahehe, ukisikiliza utajua kwanini kawalenga polisi. Wala sio kudhulumiwa hela.
Lini IGP atotoq ripoti kamili.Naona anawashambulia tu wazazi wa mtuhumiwa.Bwana mkubwa, mjadala usihamishwe!
Hamza aliporwa madini yake na waliyopewa dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zake. Ndiyo akachukua hayo maamuzi ya ajabu kwa hao jezi khaki.
Alichokifanya si kizuri ila hakiondoi uhalali walichokifanya jezi khaki ndiyo chanzo. Wasitanue magoli.
Hili lilishawahi kutokea hata kipindi cha Zombe yule askari na wenzake. Waliwaua wafanyabiashara ya madini wa Mahenge kwa kuwapora madini yao na kuwapachika jina walikuwa majambazi.
Askari bado wana utovu wa nidhamu mkubwa sana! Video tofauti mwaka jana kilichotokea Znz baada ya kuwagonga kwa term waliyotumia wao "wahalifu" ajabu wakawa wanawawasachi kwenye mifuko yao na kuchukua fedha zao.
Wengine wanafungua waleti za wahalifu na kuchukua chenye thamani kilichomo humo! Walibeba mpaka nyama za vingunguti na kwenda kugawana vituoni na raia wakishuhudia baada ya mamlaka kudai hizo nyama si salama mamlaka ambayo ilipishana na wauzaji/wachinjaji wa nyama hapo!
Hayo yote waliyakataa ijapokuwa ushahidi ulikuwa wazi mithili ya mwezi mpevu. Na wakuu wao wanatetea huu uhalifu wao.
Kuna uzi upo humuTurushie hiyo kitu please
Sasa kwa nn awe selective kwenye kufanya ugaidi wake. Mm mwenyewe mkimya Sana naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu...na nilishaenda misri pia...kwa hyo na mm ni gaidi???
Huyo ni gaidi alikuwa anataja Allah Akbar
Westgate magaidi yaliwaua akina nani?Kwa sababu polisi ni chombo cha dola ..na gaidi huwa adui yake ni vyombo vya dola vya ulinzi na usalama ....
Ww ushawah kusikia gaidi kaenda kuvamia mbuga ya wanyama na kushambukia askari pori ?
Tupate kwanza mrejesho wa Tume ya Moto Kariakoo.Milioni 400 ndio chanzo halafu hasira zake akawaelekezea polisi?
Inahitajika Tume Huru iundwe kuchunguza hili tukio, vyombo vya habari na wengine wote wanaogopa kutumia akili zao vizuri kwa hofu ya kufungiwa, tumebaki na speculation za mitandaoni pekee.
Waandishi wa habari za kiuchunguzi wanaoheshimika na walio na uhuru wakufanya kazi zao pia wangesaidia kupata majibu, tatizo ndio hofu ya kufungiwa vyombo vyao imewakumba.
Na huo ujuzi mkubwa wa kutumia silaha nzito je? Na ni kwa nini polisi?Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya alichofanya wameshajua.
Pia watu wa media mmeshindwa kabisa kupata watu waliokuwa ndani ya ile daladala na kuwahoji alichozungumza Hamza? Mambo yashakuwa tafrani.
View attachment 1912045
Maneno yako ni ya kujenga chuki na kiukweli unamhujumu rais kwa kujificha kwenye ukada wa ccm.Hamza ni gaidi Kama magaidi wengine wa bavicha walioko ndani
USSR
Acha kuangalia movie sana.....polisi ya kibongo sio FBI.Tunachokisikia ni speculation tuu. Ukweli wote serikali inao kiganjani. Serikali ni kubwa na ina nguvu. Hapo tayari wana mkeka mzima wa Hamza na watu wote ambao aidha amewahi kuchati nao au kuongea nao kupitia simu hivyo yamkini wameshapata picha au wanaendelea kusikiliza na kuchambua kiini. Gari iliyomshusha hapo kama inavyodaiwa pia kwenye cctv vamera itakua imenaswa na pengine wameshaitafuta kumhoji dereva kama abiria wake alikua anaelekea wapi na alipopandia
Westgate magaidi yaliwaua akina nani?
Garrisa je? Huyu Hamza kwanini alenge polisi pekeake, ile clip inaonyesha yupo nje ya ile daladala angeweza mimina za kutosha kwa raia lakini yeye alitarget mapolisi tu..
Kwanini hasira zake alimalizia kwa Polisi??