Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Wewe takataka ,Lini hiyo Samia amewahi kuwa na Kikwete? Hapa tunalinganisha Samia na Magufuli au Magufuli na Kikwete?

Mijitu kijinga Huwa logically zero.Njia aliyowekewa na Magufuli njia ipi? Umeona Samia anapora watu hela?
 
Kwa hiyo wewe ndo mfano wa werevu?
Jitu unakaa Mbeya huko kwenye majumba ya tope unaweza kuwa mwerevu kuzidi wote waliohojiwa?
Ndio Mimi ni mwerevu maana nafanya judgement Kwa hoja, takwimu na uhalisia sio moyo.

Narudia kukwambia Samia amemzidi Magufuli mbali sana,bila kujalisha wajinga wengi wanasemaje.
 
Umesahahu kitu kimoja muhimu. Watanzania wenzetu wa Kagera na Mwanza na Musoma walikuwa wanapita Nairobi wanaporudi makwao kutokana na ubovu wa barabara zetu.

Mkapa ndiye aliyejenga barabara ya Dodomo-Singida- Nzega- Kahama. Hivyo kurahisisha usafiri wa ndani ya nchi. Bila kusahau na barabara ya Dar- Mtwara na daraja la Rufiji
 
Hatari sana..... Mama anaupiga mwingi
 
Mkapa alietuweka kwenye mgao wa umeme unawaka saa sita usiku hadi kumi na moja asubuhi? Mkapa alieuza nyumba za Oyster Bay? Mkapa aliye binafsisha mashirika bila faida kwa umma. CCM haijawahi kuwa na viongozi wazuri.
Mkuu nenda kaangalie tena kichwa chako kama kina akili au tope. Yaani bado unalilia mashirika ya umma kuwa chini ya Serikali??
 
Huna hoja lazima ukimbilie kwenye matusi πŸ˜‚πŸ˜‚

Narudia kukwambia Samia is way better than Magufuli,nakupa takwimu ndogo tuu hapa πŸ‘‡View attachment 2973828
Kaka ni better kwako sio kwa watu wote na huu ujinga wa kusema ni better kuliko Magufuli jitahidi kuuficha hasa utaje humu jukwaani! Ila huko mtaani utakuwa kituko!
 
Bahati mbaya online polls haziko scientific. Yeyote anauliza maswali na ku fit in parameters. Hizo aspects zingine labda utumie "survey monkey" ambayo ni application specific kwa research
 
Mwalimu wako alipata shida sana shuleni.
Atapataje shida wakati darasani tunajaza majibu sahihi? Yaani Mimi Nina div 1 kuanzia Std seven hadi form 6 atapataje shida?

Nyie wajinga ambao mnatumia hisia za chumbani kwenu kulinganisha na mnakimbia takwimu ndio Walimu wenu waliokata shida 🀣🀣

Takwimu za uhalisia hizi hapa πŸ‘‡
 
Div 1 ikatoke kwenye kichwa maji hicho
 
Kaka ni better kwako sio kwa watu wote na huu ujinga wa kusema ni better kuliko Magufuli jitahidi kuuficha hasa utaje humu jukwaani! Ila huko mtaani utakuwa kituko!
Ndio maana nakwambia kwani wewe ukisema Magufuli ndio better itaondoa ukweli kwamba kule Rukwa
-Samia amefungua Barabara Vijijini ambavyo vilikuwa havina mawasiliano?
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga uwanja wa ndege wa Sumbawanga
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za mtaani za lami na taa Juu?
-Kwani itafuta ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za lami kwenda Zambia na Bonde la Rukwa?

Yaani huo ni mfano mmja tuu ya yaliyofanyika Kwa miaka 3 hayakuwa kufanyika kipindi Cha Magufuli miaka yote 5.

Sasa ipo hivyo Mikoa yooote Tanzania hii.Narudia kukwambia kwamba Samia ni zaidi ya Magufuli ni upende au usipende ndio ukweli huo.
 

Achana na hayo matakwimu ya kutengeneza ya uwongo .
Polling ndio ukweli wenyewe nakushanga Kwa nini unakataa ukweli na kuja na matakwimu ya kupika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…