Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Huna hoja lazima ukimbilie kwenye matusi 😂😂

Narudia kukwambia Samia is way better than Magufuli,nakupa takwimu ndogo tuu hapa 👇View attachment 2973828
But we need investment,
Miaka inapita apa mpaka twenty lakini mkoa una viwanda vi4 tu! So shame.
Lakini kwa barabara apo ni very hundred %. Mamakaupiga mwingi +Tactics.
 
Div 1 ikatoke kwenye kichwa maji hicho
Huoni humu mnavyopapadika Kwa maneno wakati Mimi naweka takwimu,picha na video.

Wakati Magufuli anasingizia Sgr,bwawa and the likes Samia anajanga hayo yote bila visingizio na mengine meeeeengi ikiwemo maelfu ya Ajira Kwa Vijana ambao Magufuli alishindwa Kuajiri 😂😂😂
 
Sawa. na wewe subiri teuzi
 
But we need investment,
Miaka inapita apa mpaka twenty lakini mkoa una viwanda vi4 tu! So shame.
Lakini kwa barabara apo ni very hundred %. Mamakaupiga mwingi +Tactics.
Mimi Rukwa ni Mwenyeji na nakuja sana huko Kwa shughuli zangu ni Mkoa naujua woote kuanzia alipoachia Magu Hadi Sasa.

Investments zimefunguliwa na Samia kama zote.

Nenda Ile Barabara ya Majumba 6 nyuma ya kiwanda Cha Energy kaone nini linajengwa pale.

Nenda Barabara ya Kasisiwe kaone nini linajengwa mkono wa kulia kule

Nenda hapo energy kwenye Ile sheli Kwa mbele hakuna kiwanda kinajengwa pale ?

Nenda mjini magorofa yanaota,hivyo ni Kati ya vingi havikuwpeo miaka yote 5 ya Magufuli ila miaka hii 3 ya Samia vinaota.

Harafu anakuja mjinga mmja na Kundi lake anaongea pumba 🤣🤣🤣
 
Ndio maana nakwambia kwani wewe ukisema Magufuli ndio better itaondoa ukweli kwamba kule Rukwa
-Samia amefungua Barabara Vijijini ambavyo vilikuwa havina mawasiliano?
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga uwanja wa ndege wa Sumbawanga
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za mtaani za lami na taa Juu?
-Kwani itafuta ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za lami kwenda Zambia na Bonde la Rukwa?

Yaani huo ni mfano mmja tuu ya yaliyofanyika Kwa miaka 3 hayakuwa kufanyika kipindi Cha Magufuli miaka yote 5.

Sasa ipo hivyo Mikoa yooote Tanzania hii.Narudia kukwambia kwamba Samia ni zaidi ya Magufuli ni upende au usipende ndio ukweli huo.
Apa umeongea zaidi ata ya facts mkuu Ct-scanner na x ray ya pili pamoja na taa za kuongozea magari ndi vinaingia kwa hii awamu x airport.
 
Kwani wajinga kuwa wengi kunazuia polling? Wewe hapo niambie Magufuli amemzidi Samia lipi hasa na Mimi nikueleze Samia aliyomzidi Magufuli,hata ukitaka leta sekta Moja baada ya nyingine tulinganishe.

Narudia kukuuliza tena,wewe unadhani aliyekuza Mapato kutoka 1.5T Hadi 2.2T Kwa miaka 3 nani amefanya kazi kubwa?
Mimi sitaongelea poll,nitaeleza kidogo kwenye kodi,mfano ukiweka kodi sh1000 kwenye cement,ina maana makusanyo yataongezeka lakini gharama ya maisha kwa mtu wa kipato cha chini itaongezeka (tax incidence),ukiweka tozo kwenye miamala ya simu kodi itaongezeka lakini mtu wa kipato cha chini ataumia,kumbuka mtu wa kipato cha chini ongezeko la shilingi 100 kwake ni kubwa sana na ataumia zaidi ya mwenye kipato kikubwa,kwa hiyo utakuwa umefanikiwa kuongeza kodi lakini kwa kuumiza watu wa kipato kidogo...sasa swala linakuja kwenye matumizi ya hayo makusanyo,wananchi hawa waliokamuliwa wanaona pesa zinaenda kununua ma-V8 na bima ya mtoto ya NHIF inafutwa,huyu mwananchi hawezi kukupigia kura,pesa inatengwa bilioni 300 kufanya ukarabati uwanja wa taifa lakini hakuna mabadiliko tangible yanayoonekana,kitu alichofanikiwa sana Samia ni kuongea bila kutaka kuwaudhi wakubwa,nikisema wakubwa namaanisha dynasty
 
Huyu CHOICE VARIABLE nina uhakika ukimuekea laki moja na lita moja ya ULANZI
Atachagua ULANZI huyu
 
Mimi sitaongelea poll,nitaeleza kidogo kwenye kodi,mfano ukiweka kodi sh1000 kwenye cement,ina maana makusanyo yataongezeka lakini gharama ya maisha kwa mtu wa kipato cha chini itaongezeka (tax incidence),ukiweka tozo kwenye miamala ya simu kodi itaongezeka lakini mtu wa kipato cha chini ataumia,kumbuka mtu wa kipato cha chini ongezeko la shilingi 100 kwake ni kubwa sana na ataumia zaidi ya mwenye kipato kikubwa,kwa hiyo utakuwa umefanikiwa kuongeza kodi lakini kwa kuumiza watu wa kipato kidogo...sasa swala linakuja kwenye matumizi ya hayo makusanyo,wananchi hawa waliokamuliwa wanaona pesa zinaenda kununua ma-V8 na bima ya mtoto ya NHIF inafutwa,huyu mwananchi hawezi kukupigia kura,pesa inatengwa bilioni 300 kufanya ukarabati uwanja wa taifa lakini hakuna mabadiliko tangible yanayoonekana,kitu alichofanikiwa sana Samia ni kuongea bila kutaka kuwaudhi wakubwa,nikisema wakubwa namaanisha dynasty
Tozo zipi za kwenye miamala ambazo zimeathiri uchumi wako? Maana Kodi ya serikali ni very minimal
 
Mimi Rukwa ni Mwenyeji na nakuja sana huko Kwa shughuli zangu ni Mkoa naujua woote kuanzia alipoachia Magu Hadi Sasa.

Investments zimefunguliwa na Samia kama zote.

Nenda Ile Barabara ya Majumba 6 nyuma ya kiwanda Cha Energy kaone nini linajengwa pale.

Nenda Barabara ya Kasisiwe kaone nini linajengwa mkono wa kulia kule

Nenda hapo energy kwenye Ile sheli Kwa mbele hakuna kiwanda kinajengwa pale ?

Nenda mjini magorofa yanaota,hivyo ni Kati ya vingi havikuwpeo miaka yote 5 ya Magufuli ila miaka hii 3 ya Samia vinaota.

Harafu anakuja mjinga mmja na Kundi lake anaongea pumba 🤣🤣🤣
Ngoja kwanza kipindi sijaondoka kihome boyi apo energy kwa nyuma niliacha wapo kwenye foundation kwani nini kinaendelea?.
 
Apa umeongea zaidi ata ya facts mkuu Ct-scanner na x ray ya pili pamoja na taa za kuongozea magari ndi vinaingia kwa hii awamu x airport.
Sasa ipo hivyo Nchi nzima sio tuu hapo Rukwa ni Kila Mkoa.

Unakujua Kalambo
IMG_20240405_153136_349.jpg
IMG_20240405_151434_358.jpg
IMG_20240405_152827_424.jpg
IMG_20240405_151325_240.jpg
? Sasa kule Vijijini watu tunafika kununua mazao sehemu zilikiwa hazifiki,nilipiga picha Kijiji Kimoja kule mto Kalambo ,ona daraja walilojenga
 
Attachments

  • IMG_20240405_154818_848.jpg
    IMG_20240405_154818_848.jpg
    5.4 MB · Views: 1
Ngoja kwanza kipindi sijaondoka kihome boyi apo energy kwa nyuma niliacha wapo kwenye foundation kwani nini kinaendelea?.
Kiwanda Cha fresh juice,Kuna Kingine Cha Samaki za kusindika kinatarajia kuanza kuuza soko la Ulaya Kiko Mazwi kule.

Harafu anatokea mpumbavu mmja na wafuasi wake anaongea shit kumhusu Samia ,kama ni masuala yenu ya udini,jinsia,siasa majitaka na ukabila sawa endeleeni ila kwenye delivery hakuna anseweza mzidi Samia Hadi dakika hii Kwa chochote.
 
Tozo zipi za kwenye miamala ambazo zimeathiri uchumi wako? Maana Kodi ya serikali ni very minimal
Sio uchumi wangu,but naongelea wenye kipato cha chini ambao mimi sio miongoni mwao,kodi hiyo unayoiona ni ndogo imeaffect matumizi ya watu wenye kipato kidogo,na kunaongezeko la sh1000 kwenye cement,mifano ipo mingi sana
 
Back
Top Bottom