antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Hahaha,kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states,
Tunaongozwa na vilaza
huyu ndo mwanasheria mkuu wa Tz
anaongea upupu hivi
Kila kitu kipo wazi video na picha za mauaji ya halaiki vipo wazi
Sasa huyo Mange akamatwe kwa kosa gani?
Mimi naona samia ana kesi ya kujibu damu za watu zitamgongea mlango milele.
Kwani hujui kuwa Mwanasheria Mkuu ndio mshauri mkuu wa sekta zote za serikali?Kazi ya mwanasheria ni kufanya ulinzi wa nchi?
Wachochezi wakuu wako ikulu. Anzeni nao.Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Laana zenu mmezikumbatia na mnazilinda, tena ndizo laana kuu kwa taifa letu🙆♂️Kama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Haya yanatokea makusudi ili watu wahaibikeMange achukue ushahidi mwingine huo wa kupeleka ICC.
Anazidi kufanya mambo yawe magumu anaropoka ujinga siku ya kuapishwa kwake na boss wake..!!
Huyu tiyari ameshafeli kabla ya kuanza, huwezi kuwa na madaraka makubwa kama haya ya mwanasheria mkuu wa Serikali alafu kwenye akili yako unawaza kwenda kushughulika na mtu mmoja, this is a big mistake na hataka kama ana Nia hiyo ovu bado alitakiwa kubaki nalo moyoni na siyo kutamka hadharani.Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Baada ya mwaka mmoja tuje kumkumbusha kuhusu kumkamata MangeWakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Mwambie MafweleKama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Umughaka niaje Mkuu?kitambo sana hujashusha nondoHuyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.
Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya Mpumbavu mwenzie Samia
Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!
Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?
Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!
USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU
Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!
Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!
Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?
Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!
Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!
Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!
USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI
Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?
Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!
Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
Ukinyimwa akili unakuwa mzigo mzito sana Kwa familia yako na taifaKilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Wapumbavu sana nyinyi,kuharibu mali ndiyo kutetea waliotekwa?.. halafu mbona wewe hujatekwa?Ukinyimwa akili unakuwa mzigo mzito sana Kwa familia yako na taifa
Kwa hiyo wanatetea haki za watu waliotekwa na kuuwa kinyama ndo wachochezi
Kwani ukificha upambavu wako UTAPATA hasara gani
Eti mama kweli kimambi ndio agenda ya Taifa letu yaani ndio priority,watu wako wameiba Kodi zetu mara mktaba umesainiwa gizani ukiwekwa wazi watu wajue shida inakuwa aliyeuweka hadharani na sio aliyeusaini kweli.Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!