Mange alishajieleza kwa FBI na wakamuelewa kwa nini anafanya vile. Sasa huyu mwanasheria wetu sijui atakuwa na lipi la ziada la kuwafanya wamarekani wam deport Mange Kimambi ilihali wanajua akija huku atafikia kuuwawa.🤣🤣🤣🤣
Kwanza nicheke yaani baadala ya kufocus na mambo ya ICC anahangaika na Mange.
Kingine Mange sio muharifu, kabla ya nchi yoyote kumrudisha mtu lazima Samia achukuliwe hatua
OMG!Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Oh! Ujinga ni mzigo mkubwa sana.Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Huyu Hamza Johari anajitengenezea njia iliyo nyooka kabisa kuelekea ICC!🤣🤣🤣🤣
Kwanza nicheke yaani baadala ya kufocus na mambo ya ICC anahangaika na Mange.
Kingine Mange sio muharifu, kabla ya nchi yoyote kumrudisha mtu lazima Samia achukuliwe hatua
Yes hiki ndiyo kinaenda kutokea na Tanzania itaingia kwenye matatizo kwa mara nyingineMiaka mitano ijayo kwenye nchi hii itakuwa migumu sana, utawala wa sheria na haki utazidi kuzorota sana pia.
Kwanini ulijua mtu?Nilijua mtu kumbe nae ma tako tu kaona hiyo ni hoja ya maana uyu bibi nae sijui anaitoa wp mijitu mijina mijinga km hii
Aliyekwambia Watanzania wamehamasishwa kuleta Vurugu ni nani Kibaka wewe!Kwa hiyo mlihamasishwa na raia wa marekani kuleta vurugu?ina maana marekani inakiri kuingilia uchaguzi wa Tanzania,?
Nguruwe na "laana" wapi na wapi?Kama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
He’s not confident.Jamaa anajiamini sana!!
Wewe na huyo mwenzio wote wase.nge....kifo cha JPM kilifunua mambo mengi sana....hao watu unaosema wa usalama ni takataka tu.....JPM hakutakiwa kufa....kwa kuwa wewe ni lofa huwezi kuelewa...umewahi kujiuliza kwa nini watumishi wa umma wameamua kutoa siri za ndani hadi za ikulu?...Mange kama Mange angezipataje?.....endeleeni kufukuzana na mange..tafakari wewe mse.nge....Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
watu wanaomba amani we unataka apigwe chuma huko huko aliko? Umeambiwa yule ni raia wa marekani na analindwa na katiba ya nchi hiyo. Marekani haitakubali raia wake apigwe chuma popote duniani watamtaka atakayemuaKama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Hawa Diaspora wanaoishi Marekani wanajiona wako salama sana, kama waliweza kumshambulia Rais wao wakati wa Kampeni, na Raia wa kawaida wajue hawako salama. Ni suala la muda tu.Kama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Birds of same feathers flock togetherWakati mwingine tunaweza kuwa tunamlaumu Rais kumbe tatizo ni washauri wake na watu waliomzunguka. Nina mashaka hawa washauri huwa wanamwambia Rais kila kitu kinawezekana.
Yangu macho mdomo nimezibaWakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Kwamba mwanasheria Mkuu wa serikali hajui chanzo Cha maandamano ni kupuuzwa kwa.muda mrefu kwa madai ya haki na kiutweza utu wa Mtanzania?Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote