PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
which mange kimambi is he talking about?. kwa miaka mingi, ilikuwa ukiongea na wanaccm kuhusu nguvu ya huyo dada, walikuwa wanatoa majibu ya dharau ya kuonyesha hana effect wala negative impact yoyote kwenye utawala wao. leo hilo jamaa limekaza mishipa kwa hasira likijiapiza kumkamata, hii hofu ya sasa na hasira dhidi ya mange imetoka wapi?. kumbe anawanyima usingizi sio?. m.a.m.a.e zenu
 
Nilicheka sana baada ya kusikia hili.
Nimekumbuka zamani tulikuwa na,
Vihiyo
Vishoka
Sasa nina uhakika tutakuwa na Vijohari, si kwa ututusa huo walionao maviongozi!
 
Bro ungeelewa kwamba ufisadi ,ubadhirifu wa mali za umma na mikataba mibovu ndio tatizo kubwa nchini ungeonekana una jipya!

Hata Mange asingekuwepo, kwa aina hii ya uongozi usiojali maslahi ya watu wake wataibuka akina Mange wengi zaidi na zaidi!

Deal na maisha ya watu wako,wao wataamua wakupende au wakutupe pia,period!
 
M
Wanadeal na matokeo badala ya kudeal na chanzo.
Wanadeal na matokeo badala na kudeal na chanzo. Wasipoipa thamani kura ya mtu hivi vitu vitatokea sana.
Wakina kitima wamesema sana kuhusu tume kuiba kura mnawanyamazisha kwa kuwa piga. Matumaini makubwa ya mlalahoi yoyote dhidi ya serikali ni ile kufeel kwamba kura yake inaweza kumwondoa au kumweka kiongozi anayemtaka. Asipoona hiyo thamani ya kura msitegemee kukaa kwake kimya ni kuwafurahia. Oneni kwa sasa jinsi watu wanavyorusha mitandaoni watu waliokuwa wanatiki na kutumbuiza kura za kufoji kwenye mabox. Hayo mambo yanawafurahisha viongozi na akina kairima lakini yanajenga chuki miongoni mwa raia. Kwa hali hiyo hata akina mange wakikamatwa leo atatokea mwingine kwa sababu chanzo cha tatizo hakitakuwa kimeondolewa. Watu wasikwepe uhalisia kwa kujidanganya kwamba mtanzania ni mwoga hawezi kureact kwa dhuruma atakazofanyiwa na mifumo ya serikali.
 
Hii nchi ina mijitu ya ovyo sana. Labda hicho ndicho kipaumbele cha serikali hii ya kuzimu.
 
Ningeomba tusikilize hotuba ya Obama kuhusu democracy hasa our landslide victory ya 98%.

Halafu in a democratic state huwezi kuwa unaongea kama nyapala. Ccm chama chetu tutatue tatizo hawa akina mange ni matokeo ya tatizo tumtafute mchawi kwa kuvunja ufisadi unduguugali. Wizi wa mali za umma. Upendeleo wa tenda kubwa. Na uongo.

Ni.wakati sasa wa kwenda kutekeleza yale tuliyokuwa tunaandika kuyasoma mbele ya watu kwenye kampeni.

Dunia na EAC inatushangaa bado
 
Nyinyi vilaza mliofeli mtihani wa kidato cha nne uwezo wenu ni kuwakamata watoto tu wa tiktok, instagram na facebook. Uwezo wa kumkamata Mange Kimambi na hizo akili zenu za kuvukia barabara, hamna!
 

Wewe na Johari wote hamna akili. Na huyo mtu anaonekana kama jinsia Me ila anaitwa jina Johari. Shida inaanzia hapo. Huyo Mangi ni nani mpaka ndo liwe jukumu kubwa lake la kufanya? Hivi huwa hamna akili kabisa? Kwa nini, njaa? Kukosa elimu?
 
Serikali ya samaki inaaza kutapatapa itoe maagizo kwa Trump.

Huyu ni mwanasheria gani sijui. Hili ndilo tatizo la kikosa exposure. Hata mimi nisiye mwanasheria naelewa zaidi yake.

Kwanza kumleta Mange Tanzania ni lazima wapitie court process na washinde. Kwa hapa wasitupotezee pesa za walipa kodi kwenye kufungua kesi kule na kula per diem na allowances za bure. Unless wanataka kujitajirisha kupitia hii issue.

Pili, kuandamana au kuoganise maandamano siyo kosa la kisheria Marekani pia Tanzania. Sasa watakwenda kuomba arudishwe kwa sababu gani. Kama kuua wameua wao. Kuchoma mali wamechoma GenZ. Hakuna mahalinpopote ambapo Nange kahimiza watu wafanye hayo.

Tatu hiyo diplomatic wanayodai kuitumia soon watapata majibu. Kuna iwezekano wa watu kupigwa van kwenda hata huko America kwa haya MASSACRE yaliyofanyika hizo siku 3. Yeye mwenyewe ni possible candidate kwenye hiyo list. Marekebisho na sheria za Kihuji za uchaguzi alizoziandika ndiyo zimetufikisha hapa.

Ngoja niishie hapo kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…