PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyinyi vilaza mliofeli mtihani wa kidato cha nne uwezo wenu ni kuwakamata watoto tu wa tiktok, instagram na facebook. Uwezo wa kumkamata Mange Kimambi na hizo akili zenu za kuvukia barabara, hamna!
Sawa
 
Siri za ikulu hazijaanza kutoka leo, ikulu ya mwinyi siri zilivuja,hata nyerere siri zilivuja, hakuna aliyemuua magu,aliidindia COVID-19 wakati afya ilikua mbovu
 
Birds of same feathers flock together
Rais hawezi kukwepa lawama.
Kama huyo ndio mshauri mkuu wa rais na serikali yake katika mambo ya kisheria, basi taifa lipo katika hali mbaya sana.

Ni kwa bahati mbaya sana kwamba viongozi wetu huwapenda sana watu ambao wanawaambia kila wanalotaka kufanya linawezekana, ndio maana hata huyo amekurupuka kuja mbele ya umma na kusema inawezekana kumkamata Mange na kumpeleka Tanzania wakati hata hana uhakika kama kuna makubaliano ya nchi hizo mbili.

Natamani Pascal Mayalla maana ndio mwanasheria ninayemfahamu humu aje atuambie kama alichoongea AG kinaleta maana kisheria au aliongea kwa mihemko ili kuifurahisha mamlaka ya uteuzi.
​
 
Aksante kwa mawazo mazuri!!!!
 
They didn't learn a lesson, badala ya kufanya mabadiliko ya kisheria wanataka kutumia mabavu. These people are stupid, damu itamwagika halafu waendelee kulaumu watu wengine wakati kila mtu anajua chanzo ni nini
 
Kwa hiyo hicho ndiyo kipaumbele chake 🙄🙄
 
Tunaongozwa na vilaza
huyu ndo mwanasheria mkuu wa Tz
anaongea upupu hivi

Kila kitu kipo wazi video na picha za mauaji ya halaiki vipo wazi
Sasa huyo Mange akamatwe kwa kosa gani?

Mimi naona samia ana kesi ya kujibu damu za watu zitamgongea mlango milele.
 

The WORST and MOST INCOMPETENT in the history of this country!!
 
Haya maelekezo bila kujali uweledi utakuja kuleta shida saana nji hii:-
AG anapewa maelekezo
Polisi nao wanapewa maelekezo
Offisi ya Mashtaka nayo inapewa maelekezo
Dr Naye anapewa maelekezo
Injinia Naye anaambiwa hapa daraja litapita
 
Ana Elimu gani huyu Hamza? Nahitaji kujuzwa.
 
Haya maelekezo bila kujali uweledi utakuja kuleta shida saana nji hii:-
AG anapewa maelekezo
Polisi nao wanapewa maelekezo
Offisi ya Mashtaka nayo inapewa maelekezo
Dr Naye anapewa maelekezo
Injinia Naye anaambiwa hapa daraja litapita
Ukiwa mzuri kichwani na umepata teuzi kutokana na ubora wako kitaaluma, ni rahisi sana kusikiliza maelekezo na kuijibu mamlaka kwa unyenyekevu "Mheshimiwa, haya maelekezo kwa mujibu wa sheria, hayatekelezeki"

Shida tuna taifa la watu waliopata teuzi wasisostahili. Na wengine wana sifa ila wamekuwa waoga na chawa.
​
 
Punguza ujinga kichwani.
Foolish
Kwani nimesema uongo? dini inahimiza uhalifu au kuuwa kafiri kwambs unapata thawabu hiyo ni dhana hatari.

Kila siku mlikuwa mnalia “Free Palestine ni sawa kwa kuwa ni ndugu zenu wengi katika imani ila msichojua ni kwamba even palestina kuna wakristo vilevile ila sababu ni waarabu huwa mnaamini waarabu wote ni waislam lakini je, mlishawahi kupiga hizo kelele za wale wanaopotea hapa nyumbani ? Kwamba free Tanzania kwa yanayoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…