Yeye anaongea ujinga huu kama nani? Yeye ni afisa usalama wa taifa?Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Wamarekani huwajui wewe!Huyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.
Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya Mpumbavu mwenzie Samia
Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!
Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?
Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!
USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU
Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!
Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!
Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?
Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!
Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!
Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!
USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI
Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?
Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!
Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya TZYeye anaongea ujinga huu kama nani? Yeye ni afisa usalama wa taifa?
Kwa hiyo raia wa US anaruhusiwa kuchochea ugaidi nchi zingine siyo??Huna akili wewe, unam deport raia wa marekani Tz?.
Huyu jamaa nimesoma CV yake, ana shahada mbili, ni mbobezi wa sheria za kimataifa, lakini sio wakili wa, mahakama kuu, hajawahi kusimama mahakamani,Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Hujui mambo mengi. Ndio maana AG amesema njia mbili za Kisheria au Kidipromasia. Kawaulize M23, US alivyowageuka baada ya maelewano ya Kidipromasia kati ya DRC na US. Marekani anaangalia faida zaidi. By the way who is Mange?Huyu jamaa nimesoma CV yake, ana shahada mbili, ni mbobezi wa sheria za kimataifa, lakini sio wakili wa, mahakama kuu, hajawahi kusimama mahakamani,
Anaongea uchawa mtupu, Marekani haina makubaliono na urusi ya kubadilishana watuhumiwa, Iweje iwe na makubaliano nq uchafu wa TZ! Mange ni Us citizen, USA haiwezi kumkamata kisa hawa kenge wa kizenj waliojaa ikulu, wanataka, it's stupid, it's ridiculous, it shows how stupid this guy is
ASSHOLEKwa hiyo raia wa US anaruhusiwa kuchochea ugaidi nchi zingine siyo??
Kama kushughulikia mbona mafisadi wanapeta tu? Angianzia kudeal na hao kwanza au wameisha hamna mikataba mibovu wezi wa mali ya humu?Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Busu la Kenge upo? Hawakukulima ya kichwa wajeda? 🤣ASSHOLE
HahahaBusu la Kenge upo? Hawakukulima ya kichwa wajeda? 🤣
Nasemaje nasemaje nasemaje mange kijambo auwawe tu maana yeye ndo kasababisha maafa yote yalotokea nchini,,aliwalisha ujinga watu akawavutisha na bangi ona sasa mungu ameshazilaza roho zao sehemu zinapostahili...Hivi mnaovaa ushungi wote mna mapepo?
Swali langu kwake hao wanaodaiwa kuwa ni wageni waliingiaje na vyombo vya usalama vilikuwa wapi? Then baada ya hapo ndio tuende sehemu nyingine...Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Hujui mambo mengi. Ndio maana AG amesema njia mbili za Kisheria au Kidipromasia. Kawaulize M23, US alivyowageuka baada ya maelewano ya Kidipromasia kati ya DRC na US. Marekani anaangalia faida zaidi. By the way who is Mange?
Unaona ulivyo mweupe!! Trump alikaa na nani hapo DRC? Ukiwa na mali wamarekani ni mazezeta wanakugeuka wakati wowote tena wakati huu wa Trump!!hahaha nimependa hapo pa “kidiplomasia” yaani Christian Conservative M.Rubio akae meza na muslim wa tanzagiza kujadili diplomasia? mnachekesha sana …
Kazi ya mwanasheria ni kufanya ulinzi wa nchi?Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya TZ
Sawa ukimuua Mange ndio mwisho wa wananchi kutoandamana? Inafikia kipindi tuje na suluhisho la muda mrefu Mange sio threat ila wananchi wameanza kuwa na uelewa mpana wa mstakabali wao kwa Taifa lao.Nasemaje nasemaje nasemaje mange kijambo auwawe tu maana yeye ndo kasababisha maafa yote yalotokea nchini,,aliwalisha ujinga watu akawavutisha na bangi ona sasa mungu ameshazilaza roho zao sehemu zinapostahili...
Kvmanina zake mange kijambo
Fisadi kama lowasa?Kama kushughulikia mbona mafisadi wanapeta tu? Angianzia kudeal na hao kwanza au wameisha hamna mikataba mibovu wezi wa mali ya humu?
Hii nchi haina mambo mabovu yanahitaji kuwa solved na mwanasheria mkuu ni mange tu?
Hawa majamaa ni mbumbumbu sana. Nashangaa hadi mwansheria wa wa CCM hajui hiliWanzanzibari nendeni kwenu. Hamtaweza kumkamata. Huwezi kumkamata mtu mwenye Uraia wa USA ! Mguseni mtu mwenye US passport tena US muone