mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Mimi sio chadema mkuu niondolee huo ushetanisiyo kila saini ni contract mkuu labda kwaenu huko CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio chadema mkuu niondolee huo ushetanisiyo kila saini ni contract mkuu labda kwaenu huko CHADEMA
Naam Mwansheria Mkuu wa Serikali
toka hapa we mpemba alishindwa magufuri kuua upinzani ndio ataweza huyu mama? Rudini kwenu uko pemba watanganyija tumeanza kuwaangalia kwa ukaribuWewe nawe ondoa kauli za kipumbavu, mkataba utawekwa sign, uchaguzi wa serikali za mitaa CCM, uchaguzi ujao CCM, nadhani mmesahau JPM alichowafanyia piga chini mpaka mwenyekiti wenu ohhh sijui tuandamane hakutoka hata mmoja barabarani. Mama Samia kaja kamuonea huruma kamtoa sasa pembe zinakuwa dawa ipo karibu tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumeiona sahihi ya waziri na ile nyingine kama ya mwanafunzi wa 4 m 4 baadhi wamesema ni ya SSH.. tumeiona sahihi ya Emirate harafu useme hakuna contract... contract is an agreements.. formal or informal... tumekuwa na wanasheria wa hovyo nchi hii.. hadi akina justice mwalusanya, akina mwaikusa watakiwa wanalia makaburini
Shame on u mr lawyer
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi usikosoe wananchi wanachokisema.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mjadala huo.
Akizungumza kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalumu ofisini kwake Dodoma, Jaji Feleshi amesema kuwa upotoshaji huo unaweza kuifanya Tanzania ionekane kama inabagua wawekezaji kutoka nchi fulani.
"Mtu anasema mkataba ni wa miaka 100 na hiyo ilikuja hata kabla Bunge halijaazimia. Wengine wanasema ni mkataba wa maisha. Unatafuta hicho kipengele cha maisha unapekua kifungu kimoja mpaka mwisho, hakuna," alisema Feleshi.
Ameonya pia kuwa lugha za kibaguzi zinazotolewa na baadhi ya watu dhidi ya wawekezaji kutoka nchi fulani zinaweza kuharibu sifa ya Tanzania kama taifa linaloongoza kuvutia watalii kwenye ukanda huu wa Afrika.
"Je sasa tunataka tujenge mazingira ya kuwatia hofu wawekezaji kwamba nchi yetu haitaki wawekezaji?" Alihoji Jaji Feleshi.
Aliongeza kuwa Tanzania imekuwa inajulikana kama nchi ambayo haifungamani na upande wowote miaka mingi na inayokaribisha wawekezaji kutoka sehemu zote duniani.
"Leo unapoanza kuona Waarabu ni kama shida, unachagua (wawekezaji watoke) wapi?" Aliongeza.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali pia amepangua upotoshaji kuwa bandari ya Dar es Salaam inauzwa kwa kusema kuwa hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kati ya Tanzania na Dubai (intergovernmental agreement au IGA) kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari.
"Tunaposema bandari imeuzwa, je ni kweli imeuzwa? Kile kiambatisho kimeeleza maeneo ya mahusiano kwa mujibu wa ile ibara ya 4 ni kwenye gati ngapi kati ya ngapi na hizo zinazobaki ni ngapi," alisisitiza.
Alifafanua kuwa Bunge limepitisha azimio la Ushirikiano kati ya Serikali ya Dubai na Tanzania kwenye eneo la bandari, lakini hakuna mkataba wowote ambao umesainiwa kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya DP World.
"Mpaka sasa TPA haijaingia makubaliano au mkataba wowote na DP World kwani muda wake haujafika," alisema.
Alikanusa upotoshaji unaonezwa na baadhi ya watu kuwa Tanzania au TPA haitaweza kujitoa katika makubaliano itakayoingia na DP World.
"Kama kuna kushindwana framework (msingi) umeshawekwa. Tangu mwanzo kwenye preamble (utangulizi wa makubaliano) imetajwa mikataba itakayokuja kuingiwa kama HGA (host government agreement) na project agreement (mtakaba wa uendeshaji wa magati ya bandari)," alisema.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameongeza kuwa katika mkataba ambao TPA itasaini na DP World, mwekezaji huyo atapewa masharti mahsusi na malengo ya utendaji na endapo mwekezaji ataonesha ufanisi, ataweza kuongezewa maeneo mengine kwa mujibu wa matakwa ya serikali.
Feleshi, ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DDP) na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Credit: Jambo TV
Walioelewa mtuambie mm sijaelewa lolote..Nilitegemea kama AG ungetambaa na ulalo wa Sheria ukichambua issues ambazo wananchi wana mashaka nazo mfano..Useme hii miaka sio milele wala sio mia ila iko hivi na vile..useme pia nchi itafaidika hivi na vile kuanzia mwaka huu mpaka huu...sasa ukianza kusema miradi inakwama kweli bandari ikiendeshwa na DP world ndio miradi haikwami??? Nchi hii dah ni ya kuhurumia sana
Mahakama ndiyo sehemu sahihi; wameshaenda tayari wataeewana hukoKwa nini a asubiri watu waende Mahakani!!? Kama ni kweli ameongea hayo.... Basi nina wasiwasi na Uanasheria wake!? Watanzania wengi wanataka ufafanuzi ili waelewe. Sasa huko anakotaka watu waende hiyo conf anaipata wapi!? Au kwa vile alikuwa Jaji huko nyuma basi ana uhakika na connections zake kwenye huo Muhimili...!!?
Mbona hajaelezea kwa nini saini yake haipo., na kwa nini ziingizwe mpaka bandari za maziwa makuu.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mjadala huo.
Akizungumza kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalumu ofisini kwake Dodoma, Jaji Feleshi amesema kuwa upotoshaji huo unaweza kuifanya Tanzania ionekane kama inabagua wawekezaji kutoka nchi fulani.
"Mtu anasema mkataba ni wa miaka 100 na hiyo ilikuja hata kabla Bunge halijaazimia. Wengine wanasema ni mkataba wa maisha. Unatafuta hicho kipengele cha maisha unapekua kifungu kimoja mpaka mwisho, hakuna," alisema Feleshi.
Ameonya pia kuwa lugha za kibaguzi zinazotolewa na baadhi ya watu dhidi ya wawekezaji kutoka nchi fulani zinaweza kuharibu sifa ya Tanzania kama taifa linaloongoza kuvutia watalii kwenye ukanda huu wa Afrika.
"Je sasa tunataka tujenge mazingira ya kuwatia hofu wawekezaji kwamba nchi yetu haitaki wawekezaji?" Alihoji Jaji Feleshi.
Aliongeza kuwa Tanzania imekuwa inajulikana kama nchi ambayo haifungamani na upande wowote miaka mingi na inayokaribisha wawekezaji kutoka sehemu zote duniani.
"Leo unapoanza kuona Waarabu ni kama shida, unachagua (wawekezaji watoke) wapi?" Aliongeza.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali pia amepangua upotoshaji kuwa bandari ya Dar es Salaam inauzwa kwa kusema kuwa hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kati ya Tanzania na Dubai (intergovernmental agreement au IGA) kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari.
"Tunaposema bandari imeuzwa, je ni kweli imeuzwa? Kile kiambatisho kimeeleza maeneo ya mahusiano kwa mujibu wa ile ibara ya 4 ni kwenye gati ngapi kati ya ngapi na hizo zinazobaki ni ngapi," alisisitiza.
Alifafanua kuwa Bunge limepitisha azimio la Ushirikiano kati ya Serikali ya Dubai na Tanzania kwenye eneo la bandari, lakini hakuna mkataba wowote ambao umesainiwa kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya DP World.
"Mpaka sasa TPA haijaingia makubaliano au mkataba wowote na DP World kwani muda wake haujafika," alisema.
Alikanusa upotoshaji unaonezwa na baadhi ya watu kuwa Tanzania au TPA haitaweza kujitoa katika makubaliano itakayoingia na DP World.
"Kama kuna kushindwana framework (msingi) umeshawekwa. Tangu mwanzo kwenye preamble (utangulizi wa makubaliano) imetajwa mikataba itakayokuja kuingiwa kama HGA (host government agreement) na project agreement (mtakaba wa uendeshaji wa magati ya bandari)," alisema.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameongeza kuwa katika mkataba ambao TPA itasaini na DP World, mwekezaji huyo atapewa masharti mahsusi na malengo ya utendaji na endapo mwekezaji ataonesha ufanisi, ataweza kuongezewa maeneo mengine kwa mujibu wa matakwa ya serikali.
Feleshi, ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DDP) na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Credit: Jambo TV
1. Kasema hakuna mkataba mbona huelewiMwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi usikosoe wananchi wanachokisema.
Unatakiwa uwaeleweshe watanzania kasoro zilizopo kwenye mkataba au uwaambie hskuna kasoro.
2. Waambie watanzania mkataba uliopeleka bungeni kujadiliwa unsitwa nini na tukitoka hapo tunaelekea wapi.
3. Waambie watanzania kwanini hukussini mkstaba huo ulikuwa wapi ?
4. Waambie watanzania kwanini mwekezaji anataka bandari zote.
Mimi binafsi nielewesha hiki kipengele kinamaanisha nini 👇
Nlicho kiona jaji ana jibu hoja nyepesi anakwepa maswala ya mikataba na na kuondoa wasi wasi wanachi kwa kujibu hoja zaoWalioelewa mtuambie mm sijaelewa lolote..Nilitegemea kama AG ungetambaa na ulalo wa Sheria ukichambua issues ambazo wananchi wana mashaka nazo mfano..Useme hii miaka sio milele wala sio mia ila iko hivi na vile..useme pia nchi itafaidika hivi na vile kuanzia mwaka huu mpaka huu...sasa ukianza kusema miradi inakwama kweli bandari ikiendeshwa na DP world ndio miradi haikwami??? Nchi hii dah ni ya kuhurumia sana
1. Hakuna mkataba kuna nini?1. Kasema hakuna mkataba mbona huelewi
2. Mwanasheria mkuu wa serikali kama sehemu ya mashitaka ikiwa itatokea hapaswi kusaini
3. ni wapi inaelekezwa mwanasheria wa serikali anapaswa kusaini?
Huyu kalazimishwa kuunga mkono mkataba, ndiyo maana majibu yake yamekuwa shallow sana.Kwa nini a asubiri watu waende Mahakani!!? Kama ni kweli ameongea hayo.... Basi nina wasiwasi na Uanasheria wake!? Watanzania wengi wanataka ufafanuzi ili waelewe. Sasa huko anakotaka watu waende hiyo conf anaipata wapi!? Au kwa vile alikuwa Jaji huko nyuma basi ana uhakika na connections zake kwenye huo Muhimili...!!?
Na hapa, mwanasheria mkuu alitakiwa aseme, kama bandari za Zanzibar siyo sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi usikosoe wananchi wanachokisema.
Unatakiwa uwaeleweshe watanzania kasoro zilizopo kwenye mkataba au uwaambie hskuna kasoro.
2. Waambie watanzania mkataba uliopeleka bungeni kujadiliwa unsitwa nini na tukitoka hapo tunaelekea wapi.
3. Waambie watanzania kwanini hukussini mkstaba huo ulikuwa wapi ?
4. Waambie watanzania kwanini mwekezaji anataka bandari zote.
Mimi binafsi nielewesha hiki kipengele kinamaanisha nini [emoji116]
Nawe umekeuwa shallow zaidi- ungesema tu huyo ni Mwanasheria Mkuu wa Seriklai bandia, siyo yeye hapo ingependezaHuyu kalazimishwa kuunga mkono mkataba, ndiyo maana majibu yake yamekuwa shallow sana.
Kama mwanasheria mkuu, tena jaji, ana uwezo wa kujibu kwa kina na kwa weledi, zaidi ya alivyofanya. Naona kajibu kwa namna hii ili kuwaridhisha waliomlazimisha aseme neno.
Ukweli ni kwamba Mwanasheria Mkuu hajajibu chochote. Amepiga tu bla bla. Nadhani ametaka tu kujikosha kwa Rais. Watanzania wanajulikana kwa unafiki.Putting jokes aside, nimemsikiliza vizuri ila hajajibu most specific issues za kisheria kwa namna ya kibobezi kama mwanasheria Mkuu as expected, ametoa remarks ambazo ni too general na kuwananga wanaopigia kelele mkataba.
Well kama ndio ambavyo mwanasheria mkuu anapaswa achambue jambo tata na lenye maslahi mapana its okay.
Niseme tu ukiona manyoya…..