Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

1. Hakuna mkataba kuna nini?
2. Kwa hiyo hata mimi ninaruhusiwa kuusaini?
3. Mamjo mengine tumuachi mola ataamua ugomvi mwenyewe na wapiga kura 2025
Kilichopo in IGA -maridhiano ya awali
An intergovernmental agreement (IGA) is an agreement made between the Commonwealth and state and territory governments. While IGAs are not legally binding, they express the commitment of governments to work together on certain objectives or goals.
 
Shida ya kubwa ya hizi online TV wao badala ya kuweka interview nzima wanapoalikwa wanakata na kuweka vipande wanavyodhani ni muhimu kwao; as if wote tunataka kusikia nusu story.

Unaposikiliza unaona kabisa kuna gaps kwenye maelezo ya muongeaji yanakosa background ya halipo tokea. Matokeo ya wao kukata kata interview na kukosa picha kamili ya kilichoongewa ili uweze jiongeza mwenyewe hasa watu wanapoongelea technical issues.

Jambo TV inaanza kuwa no 1, kwenye political coverage wajitofautishe na vi online TV vinavyosaka views with short clips; over depth of the full content.

Weka interview yote kwanza, halafu kata kata vipande; sio kila mtu anapenda kusikia nusu story.
 
Ukweli ni kwamba Mwanasheria Mkuu hajajibu chochote. Amepiga tu bla bla. Nadhani ametaka tu kujikosha kwa Rais. Watanzania wanajulikana kwa unafiki.
Kazi ya anayejibu swali ni kujibu SIYO kumlazimisha watui wakubali
 
ni bora ujifariji maana gaidi na mnyasa Mbowe kapewa za uso

1687787538269.png
 
Shida ya hizi online TV ni moja wao badala ya kuweka interview nzima wanapoalikwa wanakata na kuweka vipengele wanavyodhani ni muhimu.

Wakati maelezo mengine ya muongeaji unaona kabisa yanakosa background ya halipo tokea baada ya wao kukata ili upate picha kamili.

Jambo TV inaanza kuwa no 1, kwenye political coverage wajitofautishe na vi online TV vinavyosaka with short clips to generate views; over depth of the full content.

Weka interview yote kwanza, halafu kata kata vipande; sio kila mtu anapenda kusikia nusu story.
Mkuu kwa hili wanaongoza ni Lissu, Mbowe NA chadema tv
 
Kilichopo in IGA -maridhiano ya awali
An intergovernmental agreement (IGA) is an agreement made between the Commonwealth and state and territory governments. While IGAs are not legally binding, they express the commitment of governments to work together on certain objectives or goals.
IGA ilipelekwa bungeni kufanyiwa nini????
 
Mwanasheria Mkuu ni sawa la bunge dogo Tanzania....hakupaswa kuchukua nafasi ya mtetezi wa Wawekezaji....hilo ajue fika kuwa amekosea saaana tu. Haijalishi kuwa amesoma , ni mtu mzito Serikalini, amechaguliwa na Raisi n.k hapaswi kuonekana kutokea bafuni(Kusafisha uovu) Hapaswi kuchukua upande(should remain objective) na Mkataba tu na sio nani anafaa au nani anabaguliwa...kwanza...na...

Amechelewa saaan tu.

Anapaswa kufunga kabrasha zake, achukue sambusa zake, na kikombe chake cha chai arejee mtaani, aje atuelezee ukimya wake ulikuwa wa sababu zipi za msingi!
 
toka hapa we mpemba alishindwa magufuri kuua upinzani ndio ataweza huyu mama? Rudini kwenu uko pemba watanganyija tumeanza kuwaangalia kwa ukaribu
JPM alishindwa kufanya nini? ongeza sauti... jinga kubwa
 
Mwanasheria Mkuu ni sawa la bunge dogo Tanzania....hakupaswa kuchukua nafasi ya mtetezi wa Wawekezaji....hilo ajue fika kuwa amekosea saaana tu. Haijalishi kuwa amesoma , ni mtu mzito Serikalini, amechaguliwa na Raisi n.k hapaswi kuonekana kutokea bafuni(Kusafisha uovu) Hapaswi kuchukua upande(should remain objective) na Mkataba tu na sio nani anafaa au nani anabaguliwa...kwanza...na...

Amechelewa saaan tu.

Anapaswa kufunga kabrasha zake, achukue sambusa zake, na kikombe chake cha chai arejee mtaani, aje atuelezee ukimya wake ulikuwa wa sababu zipi za msingi!
Uongo hutembea haraka na hasa ukiwa unaenezwa na wapumbavu kabla ukweli haujaja kumaliza kila kitu
 
Kupata baraka ndiyo maana wakatoa azimio la bunge badala ya ridhaa (ratification)
Kupata baraka kwenye haya makabrasha?

Tena watakuwa wamewadharau sana wabunge na wananchi.

Hii ndio Dr Tulia alipelekewa???

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Tunaheshimu Phd yako usiteteebhaya mskabrasha. Utaaibika.
 
Attachments

  • AC2FE171-AD3B-406C-828C-378A443A2AA0.jpeg
    AC2FE171-AD3B-406C-828C-378A443A2AA0.jpeg
    75.7 KB · Views: 6
  • 162A1E4E-A569-4183-8AEA-3F3789DC3310.jpeg
    162A1E4E-A569-4183-8AEA-3F3789DC3310.jpeg
    150.5 KB · Views: 6
  • 5C55E9E1-BDA0-477E-BB76-811A97490411.jpeg
    5C55E9E1-BDA0-477E-BB76-811A97490411.jpeg
    55.3 KB · Views: 3
  • 3DB5F096-B358-437A-A351-5B0930C8C65F.jpeg
    3DB5F096-B358-437A-A351-5B0930C8C65F.jpeg
    32 KB · Views: 4
  • 249DF772-70AE-4282-AF27-93A0038507C8.jpeg
    249DF772-70AE-4282-AF27-93A0038507C8.jpeg
    79.5 KB · Views: 2
  • 0AE396D5-1103-43EC-8FB0-96A5EB8CFDA2.jpeg
    0AE396D5-1103-43EC-8FB0-96A5EB8CFDA2.jpeg
    58 KB · Views: 4
  • FE56DEBF-54AD-4C28-9561-60014293FE87.jpeg
    FE56DEBF-54AD-4C28-9561-60014293FE87.jpeg
    131.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom