kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
hakuna MKATABA wapi?Alikuwa wapi mwezi mzima?Sijui kama unaelewa, Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiwa mamalaka yenye dhamana AMESEMA hakuna mkataba hapo- IMEISHA HIYO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna MKATABA wapi?Alikuwa wapi mwezi mzima?Sijui kama unaelewa, Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiwa mamalaka yenye dhamana AMESEMA hakuna mkataba hapo- IMEISHA HIYO
0%Kati ya Tanzania na Emirate
Unajua hawa wanakuza mambo. Kama mwanasheria anatakiwa afafanue kile kipengere cha 23(4) kina maana gani?"Mtu anasema mkataba ni wa miaka 100 na hiyo ilikuja hata kabla Bunge halijaazimia. Wengine wanasema ni mkataba wa maisha. Unatafuta hicho kipengele cha maisha unapekua kifungu kimoja mpaka mwisho, hakuna," alisema Feleshi.
Tanzania na Dubai na sio TPA na DP World.Kati ya Tanzania na Emirate
Kama siyo mkataba mama - Bunge lilikuwa linajadili nini? Hapa Viongozi wameamua kucheza na misamiati ili wanyamazishe huu mjadala. Hivi wasomi wote wanaochambua na kutuelewesha sisi wananchi wa kawaida ni "wapotoshaji" au wanaeleza mapungufu yaliyomo kwenye mkataba. Aliyewatukana watanzania wote wenye mtazamo tofauti na Viongozi waliosaini huu mkataba kwa kuwaita "Wapotoshaji" anastasia atizamwe kwa mapana. Badala ya kujadili mapungufu yaliyomo kwenye makubaliano wamekimbilia kwenye matusi mepesi.1. Hakuna mkataba kuna nini?
2. Kwa hiyo hata mimi ninaruhusiwa kuusaini?
3. Mamjo mengine tumuachi mola ataamua ugomvi mwenyewe na wapiga kura 2025
hua ananifikirisha SanaFreeman Mbowe huwa anaongea mara moja.
Imebid atoke tu hakuna namna 🤣🤣🤣!! Ila itajulikana tu hapa mbele tuendapo!!Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mjadala huo.
Akizungumza kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalumu ofisini kwake Dodoma, Jaji Feleshi amesema kuwa upotoshaji huo unaweza kuifanya Tanzania ionekane kama inabagua wawekezaji kutoka nchi fulani.
"Mtu anasema mkataba ni wa miaka 100 na hiyo ilikuja hata kabla Bunge halijaazimia. Wengine wanasema ni mkataba wa maisha. Unatafuta hicho kipengele cha maisha unapekua kifungu kimoja mpaka mwisho, hakuna," alisema Feleshi.
Ameonya pia kuwa lugha za kibaguzi zinazotolewa na baadhi ya watu dhidi ya wawekezaji kutoka nchi fulani zinaweza kuharibu sifa ya Tanzania kama taifa linaloongoza kuvutia watalii kwenye ukanda huu wa Afrika.
"Je sasa tunataka tujenge mazingira ya kuwatia hofu wawekezaji kwamba nchi yetu haitaki wawekezaji?" Alihoji Jaji Feleshi.
Aliongeza kuwa Tanzania imekuwa inajulikana kama nchi ambayo haifungamani na upande wowote miaka mingi na inayokaribisha wawekezaji kutoka sehemu zote duniani.
"Leo unapoanza kuona Waarabu ni kama shida, unachagua (wawekezaji watoke) wapi?" Aliongeza.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali pia amepangua upotoshaji kuwa bandari ya Dar es Salaam inauzwa kwa kusema kuwa hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kati ya Tanzania na Dubai (intergovernmental agreement au IGA) kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari.
"Tunaposema bandari imeuzwa, je ni kweli imeuzwa? Kile kiambatisho kimeeleza maeneo ya mahusiano kwa mujibu wa ile ibara ya 4 ni kwenye gati ngapi kati ya ngapi na hizo zinazobaki ni ngapi," alisisitiza.
Alifafanua kuwa Bunge limepitisha azimio la Ushirikiano kati ya Serikali ya Dubai na Tanzania kwenye eneo la bandari, lakini hakuna mkataba wowote ambao umesainiwa kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya DP World.
"Mpaka sasa TPA haijaingia makubaliano au mkataba wowote na DP World kwani muda wake haujafika," alisema.
Alikanusa upotoshaji unaonezwa na baadhi ya watu kuwa Tanzania au TPA haitaweza kujitoa katika makubaliano itakayoingia na DP World.
"Kama kuna kushindwana framework (msingi) umeshawekwa. Tangu mwanzo kwenye preamble (utangulizi wa makubaliano) imetajwa mikataba itakayokuja kuingiwa kama HGA (host government agreement) na project agreement (mtakaba wa uendeshaji wa magati ya bandari)," alisema.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameongeza kuwa katika mkataba ambao TPA itasaini na DP World, mwekezaji huyo atapewa masharti mahsusi na malengo ya utendaji na endapo mwekezaji ataonesha ufanisi, ataweza kuongezewa maeneo mengine kwa mujibu wa matakwa ya serikali.
Feleshi, ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DDP) na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Credit: Jambo TV
Ukijitoa fahamu, uwe uwe unabakia za kuvukia barabara.ni bora ujifariji maana gaidi na mnyasa Mbowe kapewa za uso
Ni sahihi Tanzania imeingia mkataba wa kuhodhisha Mali zake kwa EmirateTanzania na Dubai na sio TPA na DP World.
Hapa tunaongelea alichosema Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya upotoshaji wa Gaidi na Mnyasa.MMalawi MboweUkijitoa fahamu, uwe uwe unabakia za kuvukia barabara.
Umesahau kuwa Majaliwa (waziri mkuu), Alisema Dpw wamepewa Bandari kwa sababu utendaji wa Ticts ulikuwa mbovu,,
Sasa hapo nani kapewa za Uso, ni Mbowe au PM,,!?
Kabla ya kushangilia Tafakari,,!
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mbowe yule aliyetolewa jela na akaambiwa badilisha suit uje ikulu kwa chai na picha na ushukuru au Mbowe mwingine? Mimi sikuiti majina sijui mchaga sijui msukuma wala Mpemba maana ndio hoja yako kubwa na chuki imejikita kwa Mpemba ni wazi hilo ndio linakusumbua sana lakini nikupe pole. Huyo Mpemba unayemtukana ndiye alimtoa maskini yule ambaye hata nyinyi wafuasi kuandamana tu kumsaidia mlishindwa leo ndio tumuogope Mbowe? Ila Mbowe smart kajuwa kuyakusanya majinga kwa miaka 20 na anapiga pesa tu mtu pekee hataweza kumsahahu ni JPM yule hakuwa na huruma....naongea na mtu mwenye upeo mdogo sana..kwa hiyo chadema haipo?. mbowe anayewatoa jasho mpaka mnaweweseka nyie wapemba ,kaacha siasa?
Chadema ipo kama kile chama cha TLP nadhani milipewa mbunge mmoja tu na 19 bonus japo hamuwataki. Chama kinakimbizwa na wabunge wanawake 19 tu wakuteuliwa....naongea na mtu mwenye upeo mdogo sana..kwa hiyo chadema haipo?. mbowe anayewatoa jasho mpaka mnaweweseka nyie wapemba ,kaacha siasa?
Kawekwa kwapaniMwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mjadala huo.
Akizungumza kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalumu ofisini kwake Dodoma, Jaji Feleshi amesema kuwa upotoshaji huo unaweza kuifanya Tanzania ionekane kama inabagua wawekezaji kutoka nchi fulani.
"Mtu anasema mkataba ni wa miaka 100 na hiyo ilikuja hata kabla Bunge halijaazimia. Wengine wanasema ni mkataba wa maisha. Unatafuta hicho kipengele cha maisha unapekua kifungu kimoja mpaka mwisho, hakuna," alisema Feleshi.
Ameonya pia kuwa lugha za kibaguzi zinazotolewa na baadhi ya watu dhidi ya wawekezaji kutoka nchi fulani zinaweza kuharibu sifa ya Tanzania kama taifa linaloongoza kuvutia watalii kwenye ukanda huu wa Afrika.
"Je sasa tunataka tujenge mazingira ya kuwatia hofu wawekezaji kwamba nchi yetu haitaki wawekezaji?" Alihoji Jaji Feleshi.
Aliongeza kuwa Tanzania imekuwa inajulikana kama nchi ambayo haifungamani na upande wowote miaka mingi na inayokaribisha wawekezaji kutoka sehemu zote duniani.
"Leo unapoanza kuona Waarabu ni kama shida, unachagua (wawekezaji watoke) wapi?" Aliongeza.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali pia amepangua upotoshaji kuwa bandari ya Dar es Salaam inauzwa kwa kusema kuwa hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kati ya Tanzania na Dubai (intergovernmental agreement au IGA) kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari.
"Tunaposema bandari imeuzwa, je ni kweli imeuzwa? Kile kiambatisho kimeeleza maeneo ya mahusiano kwa mujibu wa ile ibara ya 4 ni kwenye gati ngapi kati ya ngapi na hizo zinazobaki ni ngapi," alisisitiza.
Alifafanua kuwa Bunge limepitisha azimio la Ushirikiano kati ya Serikali ya Dubai na Tanzania kwenye eneo la bandari, lakini hakuna mkataba wowote ambao umesainiwa kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya DP World.
"Mpaka sasa TPA haijaingia makubaliano au mkataba wowote na DP World kwani muda wake haujafika," alisema.
Alikanusa upotoshaji unaonezwa na baadhi ya watu kuwa Tanzania au TPA haitaweza kujitoa katika makubaliano itakayoingia na DP World.
"Kama kuna kushindwana framework (msingi) umeshawekwa. Tangu mwanzo kwenye preamble (utangulizi wa makubaliano) imetajwa mikataba itakayokuja kuingiwa kama HGA (host government agreement) na project agreement (mtakaba wa uendeshaji wa magati ya bandari)," alisema.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameongeza kuwa katika mkataba ambao TPA itasaini na DP World, mwekezaji huyo atapewa masharti mahsusi na malengo ya utendaji na endapo mwekezaji ataonesha ufanisi, ataweza kuongezewa maeneo mengine kwa mujibu wa matakwa ya serikali.
Feleshi, ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DDP) na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Credit: Jambo TV
Huyu kweli alijifunza vizuri sana kwa mjomba wake,Mzee Chenge.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World

ccm ana wabunge kibao ila kufanya mkutano mmoja wa siasa mpaka kila mtu apate buku tano ndio kidogo mkutano unakuwa na viwatu watu, chadema hata mia hatoi ila nyomi kama dunia.,sasa chama gani kimekufa?Chadema ipo kama kile chama cha TLP nadhani milipewa mbunge mmoja tu na 19 bonus japo hamuwataki. Chama kinakimbizwa na wabunge wanawake 19 tu wakuteuliwa....