Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

toka hapa we mpemba alishindwa magufuri kuua upinzani ndio ataweza huyu mama? Rudini kwenu uko pemba watanganyija tumeanza kuwaangalia kwa ukaribu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi usikosoe wananchi wanachokisema.

Unatakiwa uwaeleweshe watanzania kasoro zilizopo kwenye mkataba au uwaambie hskuna kasoro.

2. Waambie watanzania mkataba uliopeleka bungeni kujadiliwa unsitwa nini na tukitoka hapo tunaelekea wapi.

3. Waambie watanzania kwanini hukussini mkstaba huo ulikuwa wapi ?

4. Waambie watanzania kwanini mwekezaji anataka bandari zote.

Mimi binafsi nielewesha hiki kipengele kinamaanisha nini 👇
 

Attachments

  • 8AFFB7E9-D5E0-47D5-8B28-7389F53A550F.jpeg
    58 KB · Views: 7

Putting jokes aside, nimemsikiliza vizuri ila hajajibu most specific issues za kisheria kwa namna ya kibobezi kama mwanasheria Mkuu as expected, ametoa remarks ambazo ni too general na kuwananga wanaopigia kelele mkataba.

Well kama ndio ambavyo mwanasheria mkuu anapaswa achambue jambo tata na lenye maslahi mapana its okay.

Niseme tu ukiona manyoya…..
 
Mahakama ndiyo sehemu sahihi; wameshaenda tayari wataeewana huko
 
Mbona hajaelezea kwa nini saini yake haipo., na kwa nini ziingizwe mpaka bandari za maziwa makuu.
 
1. Kasema hakuna mkataba mbona huelewi
2. Mwanasheria mkuu wa serikali kama sehemu ya mashitaka ikiwa itatokea hapaswi kusaini
3. ni wapi inaelekezwa mwanasheria wa serikali anapaswa kusaini?
 
Nlicho kiona jaji ana jibu hoja nyepesi anakwepa maswala ya mikataba na na kuondoa wasi wasi wanachi kwa kujibu hoja zao
 
1. Kasema hakuna mkataba mbona huelewi
2. Mwanasheria mkuu wa serikali kama sehemu ya mashitaka ikiwa itatokea hapaswi kusaini
3. ni wapi inaelekezwa mwanasheria wa serikali anapaswa kusaini?
1. Hakuna mkataba kuna nini?
2. Kwa hiyo hata mimi ninaruhusiwa kuusaini?
3. Mamjo mengine tumuachi mola ataamua ugomvi mwenyewe na wapiga kura 2025
 
Huyu kalazimishwa kuunga mkono mkataba, ndiyo maana majibu yake yamekuwa shallow sana.

Kama mwanasheria mkuu, tena jaji, ana uwezo wa kujibu kwa kina na kwa weledi, zaidi ya alivyofanya. Naona kajibu kwa namna hii ili kuwaridhisha waliomlazimisha aseme neno.
 
Na hapa, mwanasheria mkuu alitakiwa aseme, kama bandari za Zanzibar siyo sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Aje huku atuambie hii ni nini?
 

Attachments

  • F0F0232A-3351-479F-96E6-F31013D7C114.jpeg
    55.1 KB · Views: 4
  • 6E46F03A-AE9E-4162-9C6D-979E54343F5E.jpeg
    75.7 KB · Views: 6
  • 0CD2A4D3-0D4B-4883-BFF3-8AB186B46D42.jpeg
    131.1 KB · Views: 6
  • IMG_0804.MP4
    5.4 MB
  • 10884E46-738B-465F-ADCE-5AD9F3AE35DC.jpeg
    150.5 KB · Views: 6
  • 60FC3DF3-4AB0-4A52-BBC6-A996490D0BA3.jpeg
    55.3 KB · Views: 5
  • F177ACB5-0F9B-4682-AF31-7A3472DF19A1.jpeg
    32 KB · Views: 4
  • 57181C85-1B59-4F83-898A-DC9F938AB18B.jpeg
    79.5 KB · Views: 5
  • B79460A9-080F-4517-9FBE-AA7B81A63DA6.jpeg
    140.9 KB · Views: 6
  • 749A1EE9-C348-4D93-9B8F-415F9B9F776F.jpeg
    66.2 KB · Views: 4
  • F8355691-C1BC-4B73-B920-73766BCF130A.jpeg
    23.3 KB · Views: 5
  • 094D9B52-D581-4169-8974-00B930174CAE.jpeg
    37.8 KB · Views: 5
  • 0BF62B8F-0799-4C3A-A943-832B4D204FBC.jpeg
    115.9 KB · Views: 5
  • CD5789D3-4856-488F-A4E6-0610B098E4DF.jpeg
    4.3 KB · Views: 4
  • 0DD9B6C4-42B2-4B6C-9EF0-FCACC8F3AD72.jpeg
    51.3 KB · Views: 6
Nawe umekeuwa shallow zaidi- ungesema tu huyo ni Mwanasheria Mkuu wa Seriklai bandia, siyo yeye hapo ingependeza
 
Ukweli ni kwamba Mwanasheria Mkuu hajajibu chochote. Amepiga tu bla bla. Nadhani ametaka tu kujikosha kwa Rais. Watanzania wanajulikana kwa unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…