KUla chuma icho. Wasira na Polepole nani anaijua CCM kuliko mwenzake?Ubongo wako wa sisimizi kuwezi kuelewa unachoweza ni kumsifia Samia tu ili mkono uende kinywani.
Uzee na Mzoga upi unayo manufaa kwa taifa hili?Unazeeka na hizi ndoto za kichawi, unastahili kupewa pole.
Duh!KUla chuma icho. Wasira na Polepole nani anaijua CCM kuliko mwenzake?
View: https://youtu.be/RvaIpzceGWI?si=e3oydwExErtmEPd0
Hivi bado mnajiita serikali. Serikali ya mizoga?Hakuna serikali duniani inapenda kuua walipakodi wake. Italizimika tu kuua mpigakura wake kama mlipakodi huyo yuko tayari kuhatarisha uhai wa wengine na dola.
Akili za kimizoga hizi; huna tena lolote la maana. Unasubiri kuchomwa moto tu kuondolea waTanzania adhaa hii ya uvundo.Pale packers zinamwagwa sera na Samia muda huu, mtapotezwa na chuki pamoja na roho mbaya zenu.
Kuishi kwa shemeji raha sana,unaamka unakutana na kila kitu kiko mezani hata hujui kimetoka wapi, siku akitimuliwa dada yako utajua maana ya kupigania hakiHotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Wewe hivi una akili, Matatizo yako unafikiria kwa kutumia makalio. Tatizo siyo kuchimba makaa ya mawe, tatizo ni ufisadi na tender ilivyotolewa na kodi inayolipwa ipo wapi na ni kiasi gani? Hakuna mwekezaji aliyekatazwa kuchimba makaa ya mawe, tunacholalamikia ni process iliyotumika na usiri uliogubika huo mradi. Wakati mwingine ni bora unyamaze hata kama unayo mdomo. Pia angalia ukweli ni upi? Siyo kwa sababu umelipwa pesa za kuongea utumbo na wewe unakubali tu. Tumia akili japo najua huna akili kwa jinsi navyoona andiko lako.....Unapuyanga tu. In English, you are rambling, you do not know what you are talking about.....Poor you!Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Huna akili kabisa wewe alooo. Hebu tuambie ile hela ya makenikia ililipwa? fedha ziko wapi?Wewe hivi una akili, Matatizo yako unafikiria kwa kutumia makalio. Tatizo siyo kuchimba makaa ya mawe, tatizo ni ufisadi na tender ilivyotolewa na kodi inayolipwa ipo wapi na ni kiasi gani? Hakuna mwekezaji aliyekatazwa kuchimba makaa ya mawe, tunacholalamikia ni process iliyotumika na usiri uliogubika huo mradi. Wakati mwingine ni bora unyamaze hata kama unayo mdomo. Pia angalia ukweli ni upi? Siyo kwa sababu umelipwa pesa za kuongea utumbo na wewe unakubali tu. Tumia akili japo najua huna akili kwa jinsi navyoona andiko lako.....Unapuyanga tu. In English, you are rambling, you do not know what you are talking about.....Poor you!
Rostam rostam rostam rostam Kila hotuba, huku ni kudanganya watu. Rostam alikuwepo kwenye chama tangu wakati Nyerere yuko hai. Alikuwa mweka hazina wa CCM tangu wakati wa Mkapa.Umeandika nini sasa
Karibuni kwenye kampeni muone nyomi la wenye akili. Eti mwehu anasema alisanifu mfumo wa kuiba kura, mara anasema mfumo haukutumika 2020 bado hauna data, mnahanyahanya, kama kungekuwa na mfumo huo wa kupata ushindi kwa urahisi CCM wasingehangaika na kupiga kampeniDuh!
Hata Wasira bado mnampa mategemeo ya kuwaokoa msichomwe moto au kufukiwa?
Huo mzoga mwingine mmeuokota mkifikiri utawasaidia chochote?
Sitakuwa na sijawahi kuwa MZOGA; utanihusisha vipi na upumbavu huo?Karibuni kwenye kampeni muone nyomi la wenye akili. Eti mwehu anasema alisanifu mfumo wa kuiba kura, mara anasema mfumo haukutumika 2020 bado hauna data, mnahanyahanya, kama kungekuwa na mfumo huo wa kupata ushindi kwa urahisi CCM wasingehangaika na kupiga kampeni
Nyomi la kusomba watu na kutegemea wasanii na bongo movies Nyomi la kulazimisha watumishi wote wa Umma na wanafunzi waende kwenye kampeni ni ujinga wa Ali ya juu sana tunajidanganya wenyewe ndo maana reforms inaogopwa kama ukomaKaribuni kwenye kampeni muone nyomi la wenye akili. Eti mwehu anasema alisanifu mfumo wa kuiba kura, mara anasema mfumo haukutumika 2020 bado hauna data, mnahanyahanya, kama kungekuwa na mfumo huo wa kupata ushindi kwa urahisi CCM wasingehangaika na kupiga kampeni
Watumishi wa umma ni wadau wakuu wa serikali kuhudhuria sio hiari. Hakuna mtu analazimishwa kusombwa sema tu wanapewa lifti tu ya kwenda kwenye mkutano wa kampeni, haina tofauti nA Yanga kuwapa supu mashabiki wake.Nyomi la kusomba watu na kutegemea wasanii na bongo movies Nyomi la kulazimisha watumishi wote wa Umma na wanafunzi waende kwenye kampeni ni ujinga wa Ali ya juu sana tunajidanganya wenyewe ndo maana reforms inaogopwa kama ukoma
Wapuuzi wanasema eti Kuna mifumo ya kusaidia ushindi wa CCM. kwahiyo CCM wakae ofisini tu wasihangaike na kupiga kampeni.?Sitakuwa na sijawahi kuwa MZOGA; utanihusisha vipi na upumbavu huo?
Hizi pesa mnazo pewa msisahau kujisitiri, hii mizoga yenu inawaumiza sana waTanzania wakati huu na mivundo kila mahali.
Uazungumzia 'replica' ya uchafuzi wa Serikali za mitaa 2024, 'script' ambayo ndiyo inayo waongoza sasa?
Wewe ni nani; unao uhusiano wowote na Mchengerwa?
Mzoga ulio anza kuvunda hata siku moja hauwezi kupata uhai tena.Wapuuzi wanasema eti Kuna mifumo ya kusaidia ushindi wa CCM. kwahiyo CCM wakae ofisini tu wasihangaike na kupiga kampeni.?