😂😂😂😂😂😂😂Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Kwa hiyo sasa hivi unaona Samia kafanya mambo makubwa sana kutoka kwenye hizo CCM unazozisema wewe; maana mada zako zote tokea nianze kukusoma humu JF zinaeleza hivyo.Shida yetu kama taifa ilianzia pale Mwl Nyerere na wenzake waliposema Tanzania ni nchi ya kijamaa, na Kila mtu aliyempinga alikiona cha moto. Orodha ni ndefu ya walioadhilika kwa kupinga ujamaa na kujitegemea. CCM ni ileile Jana na leo, wanabadilisha viongozi tu. Bahati mbaya wanaCCM wote walikuwa waliimba hiyenahiyena hata pale tulipokuwa tunaibiwa, mfano Richmond, escrow, iptl, melemeta, kununua ndege bila kuwepo kwenye bajeti, nk, Akina Polepole walikaa kimya muda wote huo wakati taifa linapita kwenye vipindi vigumu chini ya CCM
Unapo jadili na mtu, angalau jaribu kutazama 'backgrund' yake kwa kifupi ipo je kutokana na michango yake humu humu JF; usirukie tu watu.Ghafla Polepole anaibuka kutuambia kumbe ndani ya CCM Kuna makundi mawili ya CCM asili na CCM mtanda
Una mimba?Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Niko kinyume na yeyote anaemuona Polepole ni shujaa kusema haya anayoyasema Sasa, kwakuwa Polepole ama alifanya au alifumbia macho mabaya mengi. Kwanini Sasa?Unarudi kule kule tuliko anzia; wakati nikikusihi uone upotofu uliokuwa nao kabla ya kunilazimisha nikuweke kwenye kundi hilo la MIZOGA.
Sasa unataka kuniambia hujui chochote tuliwahi kujibishana kati yetu muda wote ule?
Kama unafikiri ninakuja humu kujifurahisha tu na watu wapuuzi, nakuomba tafadhali usinichukulie hivyo; I am deadly serious in discussing Tanzania's destiny. Sitanii na wala simna mzaha juu ya hili.
Rudi nyuma, tazama mada zako zote na michango mbalimbali uliyokuwa unaiweka humu kabla ya huo niliokujibu hapo kwa heshima; halafu uje hapA UNILALAMIKIE TENA KWA KUKUITA mzoga.
Sasa sijui hasa nia yenu ni ipi kwa kweli, maana mtindo huu wa hadaa siyo wewe pekee unaye utumia humu. Huyo Mwenzako Steven Joel Ntamu sana, na yeye tumezungushana hivi hivi. Mara anakuja kama mtu mwenye akili timamu kujadili jambo; akirudi siku mbili tatu kisha badilika tena kama hajui alichokwisha changia siku chache tu zilizo pita.
Sasa nikuulize, kuna shule maalum mnako fundishwa aina hii ya kujadili mambo?
Hii ndio mitu ya Ccm.Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Ndiyo maana nasema mtu mwenye akili lazini lazima aseme au kulaumu kwa takwimu halafu afanye compare and contrast (benchmark) na watu/nchi zinazofanana katika ukanda. Tanzania bado tuko nyuma sana kwenye Kila kitu lakini kwa kujilinganisha na nchi gani kwenye ukanda wetu, sadc au Afrika?Kwa hiyo sasa hivi unaona Samia kafanya mambo makubwa sana kutoka kwenye hizo CCM unazozisema wewe; maana mada zako zote tokea nianze kukusoma humu JF zinaeleza hivyo.
Sasa nikwambie wazi, mimi siyo mjinga wala mpumbavu. Hivi visingizio vya CCM na ujamaa, nenda kawaeleze watu wasio elewa kitu siyo mimi.
Hiyo historia ya waTanzania kukiona cha mtema kuni" tunajuwa somo hilo linakopatikana; ambayo yanaendana sambamba na michango yako yote humu.
Wewe huna uzalendo wowote na nchi hii; lengo lenu ni hilo moja tu linalopata msukumo toka huko chuoni kwenu Kariakoo. Huko hawafundishi lolote juu ya uzalendo wa nchi hii.
Hapa hata haieleweki unaeleza kitu gani; maana hata uwezo wa kujieleza naona unazidi kudidimia. Ninachoona hapa sasa ni kama unaongeza tu maneno ili mada yako ionekane imechangiwa sana.Ndiyo maana nasema mtu mwenye akili lazini lazima aseme au kulaumu kwa takwimu halafu afanye compare and contrast (benchmark) na watu/nchi zinazofanana katika ukanda. Tanzania bado tuko nyuma sana kwenye Kila kitu lakini kwa kujilinganisha na nchi gani kwenye ukanda wetu, sadc au Afrika?
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Umekwisha jifunua; hata upake marashi kiasi gani uvundo upo palepale.Niko kinyume na yeyote anaemuona Polepole ni shujaa kusema haya anayoyasema Sasa, kwakuwa Polepole ama alifanya au alifumbia macho mabaya mengi. Kwanini Sasa?
Pili, siamini kama CCM haifai kuliko chama chochote cha upinzani so far. Hasa pale ninapoona watanzania wengi tuna uhakika wa kulala na kuamka salama, mtu anaweza kuwa na sh. 500 akala vipande 5 vya mihogo ya kukaanga na chachandu mchana ukapita. Tz ndio sehemu pekee ambayo Kila mtu anaweza kujenga kijumba chake mwenyewe na kujisitiri humo, hatuna homeless people kama Marekani na Ulaya. Tz ndiyo nchi ambayo sh.500 unasafiri kutoka kituo kimoja kwenda kingine, kule Marekani daladala ni dola 3 na sisi wanafunzi ni dola 1.5 unachanja kadi unakwenda unakokwenda. Dar es salaam Kila barabara Ina foleni ya magari, bodaboda na bajaj kuonyesha kuwa watu sio maskini kama watu wanavyotaka ionekane.
Watanzania hawafanyi kazi na hawalipi Kodi. Mtu anaacha mashamba yao vijijini anakuja mjini kupaka kucha rangi mitaani, ukikosa pesa hapo huwezi kumlaumu CCM au Rais wake, maana ni wewe hukulima malimao kwenye ardhi yenu ambayo huku mjini ni sh. 500 kwa limao kubwa.
Mimi namuona Polepole kama mtu mwenye agenda yake binafsi kuliko kutuonea huruma sisi wanyonge.
Samia anadanganya.Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Lissu anapigana vita dhidi ya wezi wa rasilimali za taifa... Ukiwa upande wa wezi huwezi kumuelewa!Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Upo sahihi kabisa! Kuna watu tena ni wengi tu wapo ccm ili wajikwapulie na kujilimbikizia rasilimali za taifa! Kwa namna yoyote!Umekwisha jifunua; hata upake marashi kiasi gani uvundo upo palepale.
Ajenda yenu italiangamiza taifa hili; na kama ulivyogusia hapo juu, katika ukanda huu badala ya kuwa taifa lenye heshima na kutolewa mfano kwa mshikamano wa wananchi wake; nasi tutatumbukia kwenye janga lile lile la nchi kama Somalia au Sudan.
Huna mapenzi yoyote na CCM. Ni chama ambacho mmeaona mkitumie kufikia malengo yenu.
unachoweza kufanya ni kuongeza nguvu chadema ili ccm ianguke, vinginevyo utaendelea kulalama hadi kiama kikukute. Lissu haaminiki, alijua tu kama akisema hivi lazima atakamatwa, amesema na amekamatwa hivyo chadema haishiriki. Kumbuka kuwa Huyu ni mtu ambae alichangiwa na CCM fedha za matengenezo ya gari lake alipohakikishiwa na mama kurudi nyumbani. Yajinga ndio waliwao. Subirini uchaguzi upite muone Lissu atakuwa wapi.Umekwisha jifunua; hata upake marashi kiasi gani uvundo upo palepale.
Ajenda yenu italiangamiza taifa hili; na kama ulivyogusia hapo juu, katika ukanda huu badala ya kuwa taifa lenye heshima na kutolewa mfano kwa mshikamano wa wananchi wake; nasi tutatumbukia kwenye janga lile lile la nchi kama Somalia au Sudan.
Huna mapenzi yoyote na CCM. Ni chama ambacho mmeaona mkitumie kufikia malengo yenu.
I've said all I wanted to say to you concerning your gang's folly on our country. You can pretend not to understand what you are reading; that's not my problem.unachoweza kufanya ni kuongeza nguvu chadema ili ccm ianguke, vinginevyo utaendelea kulalama hadi kiama kikukute. Lissu haaminiki, alijua tu kama akisema hivi lazima atakamatwa, amesema na amekamatwa hivyo chadema haishiriki. Kumbuka kuwa Huyu ni mtu ambae alichangiwa na CCM fedha za matengenezo ya gari lake alipohakikishiwa na mama kurudi nyumbani. Yajinga ndio waliwao. Subirini uchaguzi upite muone Lissu atakuwa wapi.