Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Mwanamke Msaliti hasemehewi
Kuna kitu nimejifunza kutoka kwa wanaume simps au waoga kuwapiga chini wanawake wasaliti

Ukishamsamehe mwanamke msaliti mara ya kwanza tu ulipomgundua umeshajiroga

Basi ujue utakosa ujasiri wa kumpiga chini akikusaliti tena. Wanaishia kununanuna wakipewa mbususu na good sex wanapotezea

Wanaume wa aina hiyo hujikuta wanasamehe tu demu anacheat tena wamasemehe tena

Dawa ni kufanya uamuzi wa kumuacha mara ya kwanza ukishagundua amekusaliti.

Na kwa wanaume waoga niwashauri usimpe nafasi ya kuongea mwanamke msaliti walaghai sana hawa viumbe
 
kwa mwanamke iko tofauti sana, tena sana, mwanamke ukimsaliti na ukamuonyesha kuwa ilikuwa bahati mbaya, au yule mwanamke alikuwa anakuwinda muda mrefu kwa mitego mbali mbali, unakuwa umeshauhamisha ugomvi kutoka kwa mume kwenda kwa yule mchepuko na huku ndani kunabaki salama,
Unawaongelea wanawake Gani? Hao ni wale enzi za kina Martha na Magdalena. Maandiko yana sema mwanaume azinie na mwanamke Hana akili kabisa Automatic mwanaume ambaye Hana akili sio wakuwa nae. 😂😂😂 Kama tupo kwenye ndoa, Sio tutaachana hapana lakini atatafutwa mwenye akili . This is what we call Samson Oath Tufikisheni kwenye nguzo tu za hili jengo la Hawa wafilisti 😂😂 halafu mtajua kitachofata 😥😥
 
Unawaongelea wanawake Gani? Hao ni wale enzi za kina Martha na Magdalena. Maandiko yana sema mwanaume azinie na mwanamke Hana akili kabisa Automatic mwanaume ambaye Hana akili sio wakuwa nae. 😂😂😂 Kama tupo kwenye ndoa, Sio tutaachana hapana lakini atatafutwa mwenye akili . This is what we call Samson Oath Tufikisheni kwenye nguzo tu za hili jengo la Hawa wafilisti 😂😂 halafu mtajua kitachofata 😥😥
wanawake hawa hawa mkuu, kwani hujaona mwanaume amezaa nje na akamleta mleta mtoto wa nje ndani ya ndoa yake na mtoto akalelewa vizuri, na mapenzi kati ya mwanamke na mwanaume yakaendelea vizuri? vipi kwa mwanaume kuambiwa tu huyu mtoto sio wako hata kwa utani tu varangati lake utalijua, utakuta kuropoka, wanaume na wanawake tuko tofauti katika hili
 
Unawaongelea wanawake Gani? Hao ni wale enzi za kina Martha na Magdalena. Maandiko yana sema mwanaume azinie na mwanamke Hana akili kabisa Automatic mwanaume ambaye Hana akili sio wakuwa nae. 😂😂😂 Kama tupo kwenye ndoa, Sio tutaachana hapana lakini atatafutwa mwenye akili . This is what we call Samson Oath Tufikisheni kwenye nguzo tu za hili jengo la Hawa wafilisti 😂😂 halafu mtajua kitachofata 😥😥
Na katika hilo mwenye akili hatakuwepo maana ukitoka nje ya ndoa bado huyo atakayelala na wewe hatakuwa na akili maana anazini, na utofauti mwingine kwa mwanaume akili zake huwa zinarudi tofauti na mwanamke hisia na akili hubaki kule kule alikochepukia
 
Huo ndio ukweli, sababu ni hizi hapa:-

1. mwanamke mpaka anacheat tayari hauko moyoni mwake hata ukimsugua masaa kumi hafeel chochote kwa sababu moyo wake haupo hapo. Na maandiko yanasema hazina yako iliko na ndiko moyo wako upo.

2. Mwanamke kumcheat mwanaume ni dharau kubwa kwa mwanaume kwa kiswahili kingine ni ufalme wa mwanaume unakuwa umefitinika na hapo hakuna mwanaume atakubali ufalme wake uangushwe na aendelee kukaa kimya.

3. Mwanaume ambaye mke wake anaisaliti ndoa huwa anadharaulika sana katika jamii, ataitwa majina ya kila namna, hata humu ndani mnaona wanaokula wake za watu wanavyojisifia kuonekana ni vidume, sasa mwanaume akigundua ndio maana kuna roho ya kinyama inaingia kwa mwanaume tunaona na kusikia familia nzima imeangamizwa, mara mtu kaungulizwa na mkaa hiyo ni impact ya dharau anayokutana nayo mwanaume pale anaposalitiwa.

Nahitimisha mwanamke ukimcheat mumeo/mpenzi wako na amegundua jiongeze uchape Lapa kwa usalama wako
Wewe ndo ulifaa uwe mwenyekiti wa CHADEMA kwa busara ulizoandika.
 
Ukweli ni kwamba mwanaume hata ajitahidi vipi kukusamehe haitatokea kamwe, huwa tunadhani tunaweza lakini hatuwezi.

Tutazungumzia hili kwa kutumia makundi matatu ya wanaume

KUNDI LA KWANZA
Hawa ni wanaume ambao tukijua tu wapenzi wetu wametusaliti huwa hatuna mjadala hata ulie, uombe msamaha sisi ni moja kwa moja tunapiga chini. Hatukupi muda hata wa kuzungumza.

KUNDI LA PILI
Hili ni kundi ambalo atajifanya kukusamehe lakini lazima kuna punishment utaipata mbele ya safari. Mojawapo ni kutoaminiwa. Kutakuwa na trust issues. Kwa mfano ukichelewa tu lazima atakumbushia, kwenye matumizi ya simu lazima atakufuatilia sana n.k Kidume anakuwa yupoyupo tu upendo sio kama zamani, hakuna msamaha hapo.

Kutokuaminiwa kwenye mahusiano huwa kunaondoa hisia za mahaba na upendo sana kwa mwanamke. Badala ya kufurahia ndoa utakuwa unavumilia ndoa. Shida yote ya nini kusanya virago ondoka.
  • Kwenye hili kundi kuna wale ambao wanawasamehe wake zao kwa ajili tu ya malezi ya watoto. Usijidanganye kuwa ni wewe umesamehewa, hapo mwanaume anachofikiria ni watoto tu sio wewe msaliti.

KUNDI LA TATU
Hawa ni wanaume ambao anakuacha muendelee kwa sababu akutumie tu hasa kwa sex na akipata option ya mwanamke mwingine utaona tu unaachwa anafanya hivyo ili kulipiza kisasi au kama punishment.

  • Hapa nitawapa mfano; kuna demu alinipa stori walikuwa kwenye serious relationship penzi motomoto akamcheat jamaa yake akajua. Jamaa akafanya kama amemsamehe aendelee tu kumla, siku ya siku miezi imeenda alisikia jamaa anafunga ndoa, siku 3 alijifungia ndani analia. Angefanya maamuzi mapema hii trauma isingemkuta.
Binti unaingia kwenye serious relationship unacheat unaachwa unarudia tena kosa hilohilo kwa mwanaume mwingine na mwingine unaachwa. Unafikiri umri unakusubiri tukutane 30s.

Kila mwanamke msaliti akiulizwa ilikuwaje ukamsaliti mpenzi wako? Utamsikia anasema ilikuwa bahati mbaya. Sasa kama bahati mbaya ilikuwaje ukanyoa hadi mavuzi?

Learn or perish
Ukisikia mtu anaongelea "wanaume ni..." au "qanawake ni..." bila ya kuwa very finely granulated in biological terms, ambazo hata hizo nazo bado zina utata mwingi, mara nyingi mwisho wake ni kufanya hasty generalization logical fallacy.

Wanaume wote hawako sawa. Kuna wanaume mpaka walio "gender fluid" wanao challenge definition ya uanaume.

Sasa hapo utawezaje kusema kirahisi rahisi tu "wanaume ni..."?

Yani hata ukienda kwa hormones ukasema wanaume hawana estrogen utakuta kuna wanaume wana estrogen.

Ukisema wanaume hawana matiti utakuta kuna wanaume wana matiti.

Yani hata ukisema uanaume ni kuwa na mshedede, kuna wanaume hawana mshedede wana condition inaitqa aphalia.

 
Umesahau KUNDI LA NNE.
(Hawa tuko wachache sana).

Tunasamehe na kusahau.
Nyinyi tuwaweke kwenye u-simp nyinyi ni waoga mnafikiria huyu nikimuacha itakuwaje

Kitendo cha kusalitiwa tu tayari umedharauliwa, kumsamehe ni kama umempa kibali cha kukusaliti tena uzoefu huwa unaonyesha hivyo

Huwa wanawake mnaowasamehe wanawadharau sana
 
Tafuta pesa hakuna mwanamke wa kwako peke Yako we sio baba yake📌
 
Back
Top Bottom