Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Duh!Ukisikia mtu anaongelea "wanaume ni..." au "qanawake ni..." bila ya kuwa very finely granulated in biological terms, ambazo hata hizo nazo bado zina utata mwingi, mara nyingi mwisho wake ni kufanya hasty generalization logical fallacy.
Wanaume wote hawako sawa. Kuna wanaume mpaka walio "gender fluid" wanao challenge definition ya uanaume.
Sasa hapo utawezaje kusema kirahisi rahisi tu "wanaume ni..."?
Yani hata ukienda kwa hormones ukasema wanaume hawana estrogen utakuta kuna wanaume wana estrogen.
Ukisema wanaume hawana matiti utakuta kuna wanaume wana matiti.
Yani hata ukisema uanaume ni kuwa na mshedede, kuna wanaume hawana mshedede wana condition inaitqa aphalia.
![]()
Congenital absence of the penis (aphallia): A rare case report - PubMed
In consideration of the rarity and devastating psychosocial consequences of this case, we accordingly call for active cooperation with doctors to minimize the negative impact of this malformation. Early assignment of gender avoids confusion and contradiction. Parental confidence solidifies the...pubmed.ncbi.nlm.nih.gov
Haya ndo mambo ya they/ them, ze/zir, ey/em, n.k.
Ndo mambo ya ‘wanaume’ wanaokaa au kuchuchumaa wakiwa wanakojoa.
Itakuwa ni dalili ya ugonjwa wa akili tu.